aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,578
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.
PCCB naomba mlitazame hili.