gari

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  2. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

    Msaada Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?
  3. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari Carina ti yenye vigezo vifuatavyo

    Nahitaji Carina Ti ambayo Ni namba C au D Iwe haijawahi pata ajali -Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendesha gari ukitoka bara unalipa $10

    Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case. Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu...
  5. Dith

    JamiiForums Tanzania Gari Hilux inauzwa

    Nauza gari, yenye namba usajili B. Gari ipo kijichi Dar. Gari haina shida yoyote. Bei ni 23M. Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  6. evangelical

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA KWAMSISI HANDENI WACHOMOA BETRI GARI YA MRADI YAPOTEA NJIANI BAADA YA KULIPWA MILIONI MOJA KATI YA 15 WALIZOTAKA WALIPWE

    Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga. mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm Ujenzi huo unandelea baada ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ihefu FC hiyo Gari ya GSM tokea Jana Usiku hadi Mchana huu inazurula hapo Kambini Kwenu kufanya nini? Ole wenu mfungwe na Yanga GSM SC leo!!

    Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally Yusuf Tigana, Msela Monja Liseki Mawe na Fundi Gwakisa Mwandambo ( aishiye Mji Mpya Kawe ) na nakujua...
  8. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusafishia gari kwa ndani(vacuum cleaner) kwa 57,500 tu

    Car vacuum cleaner. -Machine ndogo ya kusafishia ndani ya gari -Inanyonya uchafu sehem zozote ndani ya gari -Unatumia umeme wa gari DC 12 volt-57,500 tu Tupo kkoo dar es salaam Call-0753038470
  9. Dith

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  10. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari aina ya Carina Ti namba B au C tufanye biashara

    Nataftuta gari tajwa hapo juu iwe katika hali ya kuridhisha bila technical faults. Namba iwe B au C kama unayo naoma share namimi humu unipe bei kisha tutawasiliana.
  11. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Dereva gari limemzidi uwezo, Leseni ichunguzwe

    Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu, alishindwaje kumshauri.Chaajabu anaendesha gari ovyo ovyo bila hata ya umakini hasikilizi abiria ndani...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi battery ya N40 unaweza washa gari inayotumia N70?

    Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?
  13. M-FINANCE

    JamiiForums Tanzania Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

    Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema 1. Kluger 2. Harrier 3. Murano 4. Dualis
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania. Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo. Swali, je ni sahihi Rais...
  15. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Bei ya BEARING miguu ya mbele za Gari Toyota Wish

    Habari wakuu. Tafadhali mwenye kujua bei ya bearing za miguu ya mbele za gari aina ya Toyota wish naomba tujuzane tafadhali. Ahsanteni
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Apple kutengeneza Gari zake kufikia 2025

    Mtandao wa Bloomberg umeripoti kwamba Gari la umeme linalotengenezwa na kampuni maarufu ya Apple ambayo pia inatengeneza vifaa mbalimbali kama simu za mkononi na computer, litazinduliwa mwaka 2025. Inaelezwa kwamba Timu inayosimamia kutengeneza gari hilo la Apple ilikwama kwenye kuchagua kati...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

    Nimejaribu kusoma kwa utulivu kisha nikaangalia picha, naona kama yanapingana na uhalisia, anyway Wajuvi nisaidieni, lory HOwo ame-ovrtake kweli hapo?? Afande taarifa ya ajali: KAB/TR/ar/16/2021(×)ajali ya magari manane kugongana na kusababisha majeruhi na uharibifu wa magari (×) mnamo tar...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

    Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
  19. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya gari za mkononi

    Gari za kununua mikononi kulingana na bajeti yako na kupata best bang kwa hela yako..! 2-5M Corolla/Sprinter.. Gari simple na ngumu.. GX 100..ukipata yenye 1G Matumizi ya mafuta yatakuwa juu kidogo.. Ila hautakuwa mnyonge barabarani..! Vits.. Ukipata ya 3 doors hapa ujiandae kukunja siti ili...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kuweka TINTED Kioo cha gari cha mbele!

    Watu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka...
Back
Top Bottom