gari

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kuweka TINTED Kioo cha gari cha mbele!

    Watu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Teana inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri

    Wakuu naamini mpo salama, Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK DETAILS Make Nissan Model Teana Manufacturing Year 2007 Engine Capacity 2340 cc Fuel Type Petrol Transmission Automatic Color...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 2,000,000 kwa dhamana ya kadi ya gari, gari namba D ya karibuni

    Wadau habari za kazi, naweza pata mkopo tajwa hapo juu ndani ya kuanzia miezi sita mpaka mwaka marejesho.
  4. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
  5. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe amewahi kunyang'anywa gari ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani? Alirejeshewa lini?

    Baada ya Dereva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dereva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo ilienda Longido mwaka 2017 kumchukua shahidi wa pili: je kipindi hicho Mbowe alikuwa anatumia gari hiyo...
  7. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Kumbe mafuta nayotumia kwenye gari ni sawa na ningekua napanda bodaboda!!

    Umetimia mwaka sasa tangu ninunue gari yangu hii ya kwanza. Babywoka safi inanitosha, 1290cc engine 1KR. Tangu ninunue hii babywoka nilikua sijawahi kukaa na kufanya 'cost-analysis' upande wa mafuta nayotumia. Zaidi nilikua nahisi kama gari 'inanifilisi' vile navokua natoa 20,000 au 30,000...
  8. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kuhusu gari za umeme

    Hello. Nina swali moja kubwa kuhusu gari za umeme hasa charging system. Hivi ukinunua gari ya umeme ambayo inakuja na ile charging set yake. Uki install nyumbani kwako na ukawa unacharge gari yako. Je charging speed itakuwa sawa na ile recommended kwenye manuals za gari au itakuwa tofauti...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kutaifisha Gari lililo beba mkaa, hii ikoje kisheria?

    Wana jukwaa kwa mtazamo wangu naona kuna kitu hakipo sawa hapa hivi inakuwaje dereva mwenye Leseni sahihi uliyemtuma kazi apeleke mzigo mahali aamue kuchanganya na mkaa au pengine wakati anarudi abebe mkaa akamatwe halafu gari litaifishwe? Naweza kuhusianisha kosa hilo na mifano ifuatayo; Hivi...
  10. Mjuzi Wenu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya alteza inauzwa kwa 5 Millions

    Gari ipo katika hali nzuri tuwasiliane whatsap kwa namba 0692235221
  11. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Gari la Xiaomi?

  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

    Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu. Picha ya pili. Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
  13. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tairi za gari bado mpya zinauzwa bei ya kutupa

    Kwa gari za pori Toyota hilux, land cruiser tairi hzo size 15, used zinauzwa, zipo Dodoma. zote 4 kwa laki 6 (tsh 600,000) No ya simu 0716226603
  14. Baba king

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nzega, Tabora: Bashe akabidhi zahanati, Gari ya wagonjwa na Pikipiki

    BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    Naomba msaada kwa wenye maarifa ya kikokotoo hiki. Nina Safari ya kwenda Mbeya kwa usafiri wa gari langu. Ninachotaka kujua je kwa speed ya 60 nitatumia masaa mangapi kufika Mbeya? Maana kwakweli sio mpenzi wa kutembea na gari kwa speed kubwa. Kwa mwenye uelewa naomba msaada. Au kwa speed...
  17. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Gari ipi kati ya hizi inafaa?

    Poleni na maumivu ya tozo. Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency) kati ya aina hizi tatu za magari... 1. Nissan Pathfinder 2. Audi Q5 3. BMW X3...
  18. fredo fred

    JamiiForums Tanzania Gari kuitwa Baby walker

    BABY WALKER Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo. Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker. Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba asilimia kubwa ya gari ambazo zinaitwa baby walker ziko classified kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari VITS new model

    Natafuta gari VITS new model Namba D Cc 990 Full AC Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine. Bajeti yangu mil 5 Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
Back
Top Bottom