gari

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  2. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Assalaam Wanabodi, Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote. Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...
  5. POTIZILLAH

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa matumizi ya gesi kwenye gari

    Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST. Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  8. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
  9. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania Gari latumbukia Baharini Coco Beach

    Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu ==== Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi. Kamanda wa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbagala: Lori lililobeba saruji laanguka, Wananchi wajibebea mifuko ya saruji

    Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote. Chanzo : Millard Ayo TV MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo...
  11. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Usipendelee kupaki gari chini ya miti mathalani gari za Mzungu

    Huu uzi nmebase kwenye gari zote ambazo ECU (Control box) ipo upande wa engine ambapo zaidi ya asilimia 90 ya gari za Ulaya na Marekani zinaingia hapo. Ingawa zipo gari nyingi tu za Asia ambazo control box imefungwa upande wa engine mfano kuna nissan moja nimesahau tu model yake ila ina engine...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia gari lako kama umeshaingia kwenye deni la paking la TARURA kabla halijazaa

    Wadamu mnaomiliki mikoko hii ni muhimu. Wiki iliyopita nilipita zangu kariakoo nikatafuta maegesho weee nikakosa mitaa yote ya shimoni. kwa bahati nikabahatisha private paking moja hivi nikawasha hazadi nikaegesha nikaingia dukani chini ya dakika tano nikawanimeshalipia ninachotaka nikapata na...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

  14. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kama una gari ndogo njoo tuvunje

    watsap 0715140001 Wadau nasafiri kwenda masomoni nje ya nchi shemeji yenu anasema hii gar ni kubwa kwake njoo tuvunje na IST - Old/New Rush Allex/Runx Dualis Na nyingine ndogo Gari ni kali sanaa haihitaji service yoyote CC 2300, 95k kilometre, leather seat, haijarudiwa rangi. Tuma pic za gar...
  15. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Amshusha kwenye Gari Mwandishi wa Habari wa Wapo Radio

    Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu . Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
  16. N

    JamiiForums Tanzania IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

    Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya...
  18. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Epuka kuibiwa gari kwa kutumia funguo za ziada

    Note: Uzi huu unawahusu tu watu ambao gari zao zina Immobilizer Kama una funguo inafanana na hizi hapa chini. Then kaa hapa usome. Ipo hivi.... Kuna baadhi ya malalamiko watu wanalalamika kwamba wizi wa magari huenda unasababishwa na watu ambao walikuwa wamiliki wa hayo magari au...
  19. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja. Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?
  20. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja. Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?
Back
Top Bottom