gari

  1. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu: Siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?

    Wana jf ushamba mzigo mwenzenu Msukuma Mimi wa Maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini). Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi...
  2. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  3. Ederra

    JamiiForums Tanzania Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuzindika gari

    Samahani wanaJF mimi nataka kujua kama kuna haja yoyote ya kuzindika gari ukilinunua? Na je unaweza kuwa unapata ajali mara kwa mara kama hujafanya hvyoo kwenye gari lako? Maana nasikiaga watu wanaongea ongea kuwa barabara ina malue lue mengi kwa hiyo unatakiwa kuzindika vyombo vya moto
  5. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Nissan linauzwa

    Gari aina ya Nissan spirit type two (2), serious buyers only, gari nzima na inatembea bei ni 8 Millions, Kwa maelezo zaidi piga 0757340880
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Usiogope tambua heshima Pesa ionekane kwenye wallet yako: Fuatilia mkasa wote

    Habari JF family! Gawiza? Story hii inamixer zote uwe mvumilivu. Way back mwaka 2012-2013, hii miaka sikuwa na gari kabisa ila already nilikuwa na viwanja si haba kimara bonyokwa 40x50, Mapinga bagamoyo eka moja na nusu eka, Mpiji magoe sio mbali na Dr. Mvungi R.I.P mwamba, eka moja, CCM chama...
  7. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt Gari ndogo. Hesabu au mkataba vyote sawa Kwa yeyote Alie nayo Napatikana Temeke Mawasiliano: 0717285828
  8. Wa kusoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk. Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
  9. NYUNDO YA MOTO

    JamiiForums Tanzania HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

  10. kufaana

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya IST

    Manufacturer: TOYOTA Model: IST Year - 2002 Engine Size: CC 1490 Mileage: 154991 Transmission: Automatic Colour: Grey Fuel: Petrol PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 ) MAWASILIANO : ᴄᴀʟʟ ı ᴡʜᴀᴛsᴀᴘᴘ ı ѕмѕ: +255658090789
  11. AdPower Tanzania

    JamiiForums Tanzania Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    UTANGULIZI Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata kama ni padogo kiasi gani. ⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kununua gari

    Wakuu naomba ushauri wenu. Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017. Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja. Chaguo langu la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni halali kusimamisha gari kwenye kona?

    Leo saa 5.42 asubuhi traffic wenye Pikipiki No. MC.......BXR wamesababisha msongamano na mvutano na abiria baada ya kusimamisha Daladala kwenye kona iliyoko kati ya barabara ya bandari na Devis Corner wakilazimisha gari hilo lirudi kituoni. Kwanza kulikuwa na joto kali mno kina mama abiria...
  14. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ni matatizo matupu

    Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi. Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra. 1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
  16. kayeja jr

    JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

    Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona. Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. 😂😂😂
  18. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

    Habari Guys Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako. Kuna option mbili Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili tofauti, Maana yake mtu hatoweza kuwasha au kuondoka na hilo gari unless awe ameregister vidole...
  19. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza! Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
  20. L

    JamiiForums Tanzania Gari kushindwa kupanda milima

    Habari wana JF, nimekuwa nikitumia gari hili(Toyota vitz old model) kwa mda wa miaka4 sasa hata hivyo hivi karibuni limepatwa na tatizo ambalo kimsingi linanichanganya. >>KUSHINDWA KUPANDA MLIMA. Aidha tatizo hili lilianza gafla ambapo nililipeleka kwa fundi na kukuta valvi moja ya...
Back
Top Bottom