gari

  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Napata wapi dalali wa magari (used) ambaye ni muaminifu na anakulengesha kwenye gari nzuri

    Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenye gari binafsi inayokwenda Bukoba sasa hivi

    Za muda huu wakuu, Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
  3. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Mamlaka ondoeni barabarani masalia ya mwili wa marehemu aliyegongwa na lori la mchanga

    Tarehe 23/1/2022 majira ya saa 1 usiku kuna kijana wa bodaboda aligongwa na Isuzu Tipper barabara kuu ya Moshi Dsm eneo la Mwembeni na kufariki papo hapo. Marehemu alijeruhiwa kichwani na kumwaga ubongo wote barabarani. Mpaka leo 26/1/2022 bado kuna masalia mengi ya ubongo na nywele za...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama gari yenye uwezo wa kupaa. Imepewa kibali huko Slovakia

    Gari inayopaa yenye uwezo wa kuruka kwa zaidi ya futi 8,000 (sawa na mita 2,500) na kukimbia kwa kasi ya zaidi ya 100mph (sawa na km 160 kwa saa) imeidhinishwa na kupewa cheti cha kuiruhusu kufanya safari za angani na mamlaka ya Usafiri ya nchini Slovakia. Gari hiyo iliyoundwa na Prof.Stefan...
  5. Gerald1

    JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  6. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar wanaamini ukiwa na gari umetoboa maisha

    Madem wa DSM bhana ukitaka kuwala mpaka uvimbiwe wewe miliki kausafiri tu aiseee wanadata sana. Wanaamini mwanaume mwenye gari amefanikiwa kimaisha kumbe wengi sisi tunaunga unga tu hata pesa za kutia wese zinatupiga chenga[emoji28][emoji28] Ni rahisi kumdanganya namiliki kiwanja au nyumba au...
  7. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Msaada:Nimepigisha shoti kwenye gari vitz

    Habari wakuu! Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz zikiwa bado zipo kwenye betri. Gari nyaya zikatoa cheche na ikazima hapo hapo.Tukajaribu kuiwasha...
  8. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

    Wakuu, salaam. Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza. Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa. N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
  9. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso. Soma zaidi... Dalili za MAF sensor inahitilafu ni, 1. Engine ni ngumu kuwasha. 2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka. 3. Engine inasitasita au...
  10. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya Toyota Alphard

    offer offer Unregistered (chassis number) Toyota Alphard Y.O.M 2007 Low Mileages 65200 kM Cc 2360 Full Ac Full file All automatic Doors And Put OG Sports rims & good tyres Clean in and out All duties and tax payed Price: *21. discount mpk million 20.5 inatoa million 1 y udalali naomb ukiwa tyr...
  11. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

    Kiukweli unaweza usione faida yoyote lakini faida ipo tena kubwa tu. Kuna faida kuu mbili 1. Gari ina accelerate faster 2. Gari inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta. Tuachane na gearbox za manual kwanza. Naomba tuzungumzie Automatic Transmissions tu. Kila kila gear inayokuwa engaged huwa...
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Vera Sidika azawadiwa gari lenye thamani ya zaidi ya billion 5 za kitanzania!

    Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. Wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa...
  13. arnjaam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake! Mimi...
  14. jahanbaksh

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Karibu uagize Gari kutoka CARHUNT JAPAN

    Karibuni Ndugu zangu wana Jamii forum katika uzi huu upate nunua/Agiza Gari kutoka CARHUNT JAPAN Katika uzi huu nitaweka Bei ya Gari ambayo itajumuisha Bei ya Gari na Usafirishaji (C&F), Gharama za TBS na Clearing Fee. Kwa ufafanuzi tu ni kwamba sisi hatuna yard hapa Tanzania Bali Yard yetu ipo...
  15. arawa

    JamiiForums Tanzania Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

    JF magari, habari? Heri ya mwaka mpya wakuu. Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia) Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner. Gari zote ni angalau kuanzia 2011. Naomba maoni yenu...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoibiwa gari kizembe bar

    Maisha ya mwanadamu yamejaliwa na kumbukumbu nyingi sana, nyingi na mbaya, zenye kutufundisha na zenye kuburudisha. Al mradi ni matukio yalitokea na yakapita. Nakumbuka mwaka 2018, tarehe kama ya leo na mwezi huu huu, nikiwa na gari ndio lina siku nne tu tangu lipite pale gati namba mbili na...
  18. jahanbaksh

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier kwa 5000 USD Gari ipo bandarini sasa hivi

    kama kichwa cha uzi kinavyosema, Gari ipo bandarini mwenye nayo kashindwa lipia. wajapan wanataka 5000USD wakupe Harrier yako details zake kwa haraka ni ina mileage ya 241,499 km engine capacity 2360cc na ni ya mwaka 2004 kwa picha karibu inbox au whatsapp us kwa namba hii 0737 881 888 NOTE...
  19. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wizi wa masega kwenye gari

    Salama wandugu Hivi Watanzania mbona watu ajabu ajabu Sana na majizi Sana???????? ,kwa Sasa wanaanza wizi wa masega kwenye gari kwa ambao hamfahamu masega ni vitu vinavyosaidia gari kutumia mafuta kidogo na inaongeza speed ya gari yakitolewa ndio utaona gari unakanyaga mafuta lakini haikimbii...
Back
Top Bottom