gari

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la Simba matatani kwa kuendesha gari kinyumenyume

    Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
  2. Kaka Yaoh

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kukagua gari used Tanzania kabla sijanunua

    Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa. Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Bwana Mdogo na Gari yake

    Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800 Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but...
  5. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

    Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Chicken on the Bonnet'' (Kuku Juu ya Bonnet ya Gari)

    "CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI) Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu. Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha. Picha kama hii huwezi kuipata hata kwa miaka mia. Haraka nikaingia kazini na nikapiga picha nikianza kwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

    BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..." Taarifa zaidi zitakujia hivi punde ======= Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
  8. Jeff

    JamiiForums Tanzania Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  9. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

    Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada gari yangu inaandika auto lamp inoperative!

    Gari ni Mercedes C200 Kompressor w204 inaandika autolamp function inoperative. Tatizo litakuwa ni nini?
  12. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Balaa la kuazimisha gari!!!

    Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

    Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu. Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri. Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani. Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

    Adam Mohamed Bakari, dreva wa Mh. Lissu aliyasema haya katika mahojiano yake na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo. === Adam Mohamed Bakaria aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A. Lisu amehojiwa na...
  20. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model)

    Habari zenu waheshimiwa! Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu; Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku Ijumaa -...
Back
Top Bottom