gari

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ASAS kuwapa Polisi Gari na Pikipiki ni kutaka kuiweka mfukoni dola

    Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa...
  2. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

    Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5 Body ni station wagon Sasa kwanzia jumapili gia zinaingia Kwa tabu sana hasa namba Moja na reverse na niligundua Hilo pindi nimetoka...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tairi na rim zake size 20 zinauzwa, zimevuliwa kwenye gari

    Tairi zipo 2 rim ziko 4 Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja) Rim pekee laki na 80 Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  5. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa gari

    Habari wanajamvi, Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12. Wapi ntapata wanakokopesha magari used kwa rejesho la kila mwezi. Uwezo kurejesha laki 5 hadi 8 kwa mwezi. Na natanguliza mil...
  6. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Gari kutoa moshi mweupe (mawingu) baada ya kuwashwa

    Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa Gari tukainyanyua. Engine haina mbinyo wowote isipokuwa rejeta imesogea kidogo na iliingiwa na udongo...
  7. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Sababu ya Gari Kuwa na Vibrations Kubwa Ikifika Speed 50+

    Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa...
  9. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

    Habari wana jf tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
  10. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodisha

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa muda wa siku 7 mpaka 14 ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  13. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Daf XF Euro 5 inauzwa, kibini ipo separates na chesesi

    Gari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo. TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA Kibini ipo sawa kabisa ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

    Aiseee zile gari acha kabisa Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu 😂😂😂😂 Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka 😆😆😆 Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari...
  15. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya gari inaandika "Change Engine"

  17. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inatafutwa

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili gharama na maandikishano...
  18. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari ya milioni 60

    Wakuu, salama? Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60. Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri. Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake. Gari anayotaka ni ya kutembelea. Shukrani sana.
  20. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
Back
Top Bottom