gari

  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda. NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fremu mtaa wa livingstone kwa ajili ya spea za gari

    Habari wakuu Mwenye kazi yake ,Nipigie kwa 0713 039 875 .Kodi hamna shida
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  5. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Rais Putin afanya ziara ya kushtukiza Mariupol Ukraine na Crimea

    ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol === Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine Putin aliutembelea pia mji wa...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

    Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya. Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

    Hii sasa ni too much Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma? Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6? Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  9. E

    JamiiForums Tanzania MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

    Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari.... •Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu? •Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako? •Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji? •Je unatamani kupata dereva...
  10. Mwl Evarist Mchele

    JamiiForums Tanzania Nina million 5 natafuta gari

    Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used. 1. Naishi mjini full rami (dsm) 2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return 3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba 4...
  11. mavya

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari limejaa tope ujue limetoka Kigoma

    Nimefanya Tafiti ndogo kwa ndani ya miezi sita sasa, kwa sasa ukiwa road ukaona gari limejaa tope uko mkoani basi usiùlize limetoka wapi jua tu limetoka Kigoma. Kwa sababu mpaka sasa toka tupate uhuru Kigoma pekee ndo mkoa ambao haujaunganishwa na mikoa mingine kwa lami.
  12. iCode

    JamiiForums Tanzania Gari la kukodi Mbeya

    Wakuu amani na iwe kwenu. Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari liwe katika hali nzuri na budget iwe nzuri pia. Gari linahitajika kuanzia leo. Natanguliza Shukrani.
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

    Habari zenu ndugu, Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake. Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo. Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nimemzingua konda wa gari akaniita bachela. Muonekano wa bachela unatofautiana vipi na mwenye ndoa?

    Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa...
  15. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  16. mtu Imara

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya car shades za hotel au nyumbani wasiliana nasi

    T Up I Tupigie 0676030410
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Gari ni ulimbo kwa warembo!

    1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi. 2. Utawagonga warembo mpaka uchoke. 3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la Simba matatani kwa kuendesha gari kinyumenyume

    Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
Back
Top Bottom