gari

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali kuwa na gari ya kutembelea ni muhimu. Itakuongezea thamani kirahisi

    Kumekuwa na mijadala mikali sana kuhusu nini kitangulie kwenye maisha ya mjasiriamali/mfanyabiashara, nyumba au gari? Watu wengi sana wamekuwa wakikatishana tamaa kwamba kununua gari kabla hujajenga ni upuuzi na uamuzi mbaya. Ni kweli wana sababu nzito kwasababu ukiachana na nyumba kukuondolea...
  3. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  4. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Kufahamu engine ya gari kwa Muonekano

    Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti.. Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo.. Baadhi ni hizi Prado 70.. Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..! Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ Landcruiser Mkonga Pua mbele.. 1VDFTV...
  5. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Magari ya wakuu wa mikoa na wilaya wanayaacha wakistaafu au wanaondoka nayo?

    Habari, Zile Gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaziacha wakistaafu au wanaondoka nazo? Kuuliza siyo ujinga naomba majibu ya swali hilo hapo juu.
  6. daizouh

    JamiiForums Tanzania Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

    Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
  7. Jacob Thom

    JamiiForums Tanzania Nauza gari Spacio

    TOYOTA SPACIO NEW Model CC 1490 HAINA CHANGAMOTO BEI: M8 .5 Exchange Allowed SIMU: 0710381545
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu apigwa faini na Polisi kwa kutofunga mkanda wa Kiti akiwa ndani ya gari

    Ni Rish Sunak wa Uingereza Source: Sky news Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani ---- Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari lililokuwa likitembea wakati akirekodi video kwa ajili ya mitandao ya kijamii. Polisi wa Lancashire...
  9. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania gari inagonga kwa chini kwenye miguu

    habari wakuu gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
  10. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

    Wanabodi Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu, Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!. Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!. Mtanisame nili staafu uandishi wa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afghanstan wamebuni gari lao la kisasa kwa jina la Mada 9

    huko afghanstan wameishangaza Dunia baada ya kutengeneza Gari yenye Mundo wa Ferrari. Gari hii imepewa Jina MADA 9. Kaka masoud kipanya unakosea wapi?
  13. mludego

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
  14. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Gari za kukodisha pamoja na Dereva

    Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia. Imebaki RUMION. Dereva unapewa anakuendesha unapoenda popote ndani ya nchi. Mafuta ni juu yako ila utalipa pesa ya kukodi ambayo sasa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua madhara yanasabishwa na kufeli kwa diode kwenye alternator ya gari

    Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari. Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii...
  16. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
  17. S

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  20. deedee

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023: Kodi mpya za kusajili gari

    Karibuni tujadili gari zenye unafuu wa Kodi kwa mwaka 2023. Calculator ya TRA imeshafanya yake.
Back
Top Bottom