Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model)

Ibudigital

JF-Expert Member
May 11, 2020
323
653
Habari zenu waheshimiwa!

Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu;
  • Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku
  • Ijumaa - Jumapili: Tsh 250,000/= kwa siku
Muda wa ukodishaji (mtu mmoja);
  • Jumatatu - Alhamisi: Saa 12 asubuhi (06:00 AM) hadi saa 2 usiku (20:00 PM)
  • Ijumaa - Jumapili: Saa 2 asubuhi (08:00 AM) hadi saa 6 usiku (00:00 AM)
Muhimu;
  • Dereva ni wangu
  • Mafuta naweka mwenyewe
  • Gari ina AC safi mno!
  • Gari ina bima kubwa
  • Utaletewa gari safi
  • Dereva mwenye nidhamu
  • Siikodishi kwa kazi ya dala dala
  • Inabeba watu 6 ukiachana na dereva
Kwa atakayehitaji awasiliane nami: 0692987122
 
Attachments

  • photo_2023-02-05_13-51-41.jpg
    photo_2023-02-05_13-51-41.jpg
    124.3 KB · Views: 21
  • photo_2023-02-05_13-51-49.jpg
    photo_2023-02-05_13-51-49.jpg
    76.6 KB · Views: 18
Habari zenu waheshimiwa!

Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu;
  • Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku
  • Ijumaa - Jumapili: Tsh 250,000/= kwa siku
Muda wa ukodishaji (mtu mmoja);
  • Jumatatu - Alhamisi: Saa 12 asubuhi (06:00 AM) hadi saa 2 usiku (20:00 PM)
  • Ijumaa - Jumapili: Saa 2 asubuhi (08:00 AM) hadi saa 6 usiku (00:00 AM)
Muhimu;
  • Dereva ni wangu
  • Mafuta naweka mwenyewe
  • Gari ina AC safi mno!
  • Gari ina bima kubwa
  • Utaletewa gari safi
  • Dereva mwenye nidhamu
  • Siikodishi kwa kazi ya dala dala
  • Inabeba watu 6 ukiachana na dereva
Kwa atakayehitaji awasiliane nami: 0692987122
Mafuta unaniwekea kiasi gani kwa siku?
 
Bei zako zipo juu sana 250000 kwa siku hata fuso ya mchanga hailazi hii hesabu.

Labda upate mtu anaye uza unga a.k.a ngada...a.k.a drugs.....

Kiufupi huwezi pata mtu full stop. Hata amsini kwa siku hupati labda 30000 kwa siku.
 
Nimeshaikodisha kwa Tsh 250,000 zaidi ya mara tatu kwenye harusi kwenda kuwabeba watu kuwapeleka ukumbini na baada ya harusi kuwarudisha kwao.

Asante kwa maoni yako boss!
 
Na hilo sipingi lakini huwezi wapata wa 250K kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom