Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,937
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.

"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda.

---

Gari.jpg

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo

"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda

Amesema katika operesheni iliyokuwa inafanyika katika mradi wa ujenzi wa reli ya ya SGR, jumla ya watuhumiwa saba walikamatwa wakiwa na vifaa mbalimbali vya ujenzi vilivyoibiwa katika mradi huo

Amevitaja vitu vilivyokamatwa kuwa ni mafuta lita 560, pikipiki 8 zilizokuwa zinatumika kubebea mafuta, mifuko ya saruji 79, mirija ya kunyonyea mafuta 21, baiskeli 8, na mabomba ya chuma 19

Vingine ni mapipa tupu mawili, madumu tupu 20, wavu 10 aina mbalimbali, nondo vipande 4 pamoja na vipande 5 vya red copper

"Ninatoka wito kwa wakazi wa Simiyu kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi sambamba na kutoa taarifa sahihi za uhalifu na waharifu ikiwemo ikiwemo taarifa zitakazowezesha kupatikana Kwa watu hao na kujua mahala walipo," amesema Chatanda

MWANANCHI
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.
"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda
 
Huyo jamaa apewe ulinzi, wanasiasa wanaiba na wananchi wanajiongeza.

Kula Kwa urefu wa kamba bahati mbaya imekatika
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.
"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda
Haya ni maelezo ya upande mmoja. Hatiwezi fahamu yaliyo nyuma ya story hii
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.
"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda

Mkuu unakubaliana na mimi kua “kuna wahuni wamerejea kwa kishindo”?
 
Gari.jpg

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.

"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda.

Amesema katika operesheni iliyokuwa inafanyika katika mradi wa ujenzi wa reli ya ya SGR, jumla ya watuhumiwa saba walikamatwa wakiwa na vifaa mbalimbali vya ujenzi vilivyoibiwa katika mradi huo.

Amevitaja vitu vilivyokamatwa kuwa ni mafuta lita 560, pikipiki 8 zilizokuwa zinatumika kubebea mafuta, mifuko ya saruji 79, mirija ya kunyonyea mafuta 21, baiskeli 8, na mabomba ya chuma 19.

Vingine ni mapipa tupu mawili, madumu tupu 20, wavu 10 aina mbalimbali, nondo vipande 4 pamoja na vipande 5 vya red copper.

"Ninatoka wito kwa wakazi wa Simiyu kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi sambamba na kutoa taarifa sahihi za uhalifu na waharifu ikiwemo ikiwemo taarifa zitakazowezesha kupatikana Kwa watu hao na kujua mahala walipo," amesema Chatanda.

MWANANCHI
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.
"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda
Nilisoma taarifa za wenzetu hawa afandez huwa najiuliza sana.
 
Back
Top Bottom