Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458

Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.

Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
 
Aisee
Dereva anafanya jaribio baya ssna
 
Askari ameyachoka maisha huyu,kwanini ukae mbele hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu?sio wote wanaotembea barabarani ni binadamu.
Kuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemea.
 
Askari ameyachoka maisha huyu,kwanini ukae mbele hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu?sio wote wanaotembea barabarani ni binadamu.
Kuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemea
 
Dereva anaweza kuwa amekosea ila Waziri anapagawa tu bure.

Traffic anajua afya ya akili ya dereva hadi akae apo kuzuia gari kama break

Anachofanya traffic ndio taratibu zake za kaz zilivo katika kujal usalama wake? Namba za gari hazipo had yeye awe break?

Ndio dereva ana kosa ila traffic wetu wawe fair muda mwingine na sio kutega vitu havina maana....
Sheria zetu za barabarani mbovu, na traffic wanazitumia hizo hizo kupata ugali wao... its not right.
 
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.

Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
Angetoa agizo pia yule mtoto wa waziri mwenzake naye anyanganywe leseni.
Ila tii sheria bila shurti jamaa naye kazingua
 
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.

Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom