Ndugu zangu Watanzania,
Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani.
Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa
Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo
1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀
2 Whatsapp channel 😀
3 Kibegi
Mtani Sasa rasmi hatapata...
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi
Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini
Huyu...
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika.
Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu,
Mimi wangu ni huu👇
Wadau habarini!!!
Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa
Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi.
Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI...
aiseeee
Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION"
what the hell is this???
Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo?
Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane
Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu
Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda
Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba?
Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3,
Azam 1 Kagera Sugar 0
Azam 2 Singida Big Star 1
Yanga 0 Azam 1.
Mechi za Simba
Pamba 0 Simba 1
Simba 4 KMC 0
Mashujaa 0 Simba 1
Azam mechi 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.