au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada.
Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi.
Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
Nisiseme sana....
Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake?
Mitandai ambayo ipo tz ni;
1.Tigo
2.Vodacom
3.Airtel.
3.Halotel
4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania.
Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita.
Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
Habari wakuu!
Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi .
Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia
Vocha au wi fi.
Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi
ASANTENI SAANA.
Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa.
Sasa ni nini cha kufanya unapoibiwa simu? Wengine husema katoe kwanza report polisi. Wengine husema block line...
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye...
https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Tukio...
amani
balozi
balozi wa marekani
demokrasia
gani
hatari
hekima
kabudi
kongamano
kukimbia
kuliko
kwao
mabavu
mara
marekani
mbowe
moja
muafaka
muhimu
mwakilishi
nchini
prof kabudi
rais
ripoti ya uzinduzi wa hali ya demokrasia nchini
sana
taifa
tcd
ubaya
uhuru
umoja
usalama
usalama wa taifa
utulivu
wakati
Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...??
Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO....
hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani??
#KATAA WAHUNI
Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing.
Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa keep on trying kila siku kuimprove quality ya video na audio yako.
Software na Apps ambazo unaweza...
Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
Komwe ni nini?
Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake?
Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya...
Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video?
Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake.
Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.