gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kozi gani za VETA zina uhakika wa ajira au kujiajiri kwa urahisi? Wenye uzoefu tuambieni!

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri. Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
  3. Intricate

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki

    Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi, aloooo 🤣🤣🤣. Nna familia yangu na mtoto mkaliii na watoto wangu wawili wako international schoo...
  5. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaojua kimombo tusaidieni,Trump anaposema “These countries are calling us up. Kissing my ass" ana maana gani.

    Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara. Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sehemu Gani hapa Dar weekend wanaonesha cinema??

    Nataka kila weekend niwe naenda cinema je wapi Kuna cinema quality sanaa na mazingira mazuri?
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Fumbo hili la kuku lina maana gani nyumbani kwangu?

    Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba. Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike. dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu. Broiler...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Radio Free Africa mna shida gani??

    Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
  12. navigator msomi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  13. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nida Mnashida gani lakini?

    Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka serikali za mitaa (Moya ya uamuzi wa hovyo zaidi) sababu nilienda mara ya kwanza wakasema sio vyote...
  14. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  15. MENGISINA

    JamiiForums Tanzania NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  16. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye mitandao ya simu kwa sasa, Je tupo salama?

    Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana. Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  18. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  19. Druggist

    JamiiForums Tanzania Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?

    Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia. Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mtu ametapeli na namba yake ipo hewani je? Kuna ugumu gani kukamatwa?

    Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia smart Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi...
Back
Top Bottom