Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.
Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.
Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.
They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)
They have got the most biggest egos in the...
Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma.
Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.
COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
Wakuu natumaini mu wazima wa afya,....
Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,...
Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini?
Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi hasa humu nchini hasa ukilinganisha historia ya maisha yake ya kifamilia na siasa ilivyogubikwa na...
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate.
Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria?
Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya.
Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu
Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna...
Kuna mijadala mingi imeshika kasi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA hususan nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti, kuna kambi kuu mbili ya mwenyekiti anayeenda kutetea uenyekiti wake mwamba Freeman Mbowe na ya makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu anayegombea uenyekiti safari hii.
Kwanza nadhani...
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani?
Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa.
Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.