gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

    Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti. Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
  2. stevenkatalas

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

    Habari wadau wa JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana. Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mashindano ya kiume haupo na ya wanawake( mama zako) haupo wewe utakuwa jinsia gani?

    Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani? Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui. Wababe hufika kwenye nane bora kila wakishiriki. Wewe ambaye haupo kote ni jinsia gani? Au ndio mashoga ndio maana mnajisifu kwa...
  5. bush crazy

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa posta hii ina maana gani!

    Habari za Leo wanajamii forum. Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS. Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini. Je mzigo umefika au Bado.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

    Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
  7. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

    for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Serikali na wadau Wana muongozo Gani juu wagonjwa na watu wa namna hii?

    Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bifu gani ilitikisa Taifa?

    Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu 1. Ruge na Sugu Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta 2 TMK halisi na TMK family Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu 3 Ali kina na...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

    Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba Wakaanza kunifokea...
  11. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  12. Daby

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli Je Kuna siri gani kwenye kuimba/Mziki?

    Nina amini kuna siri kubwa sana kwenye kuimba haijarishi unaimba katika lengo gani. Tukianza na kwenye tamaduni zetu za kijadi karibia kila kusanyiko nyimbo huhusika yaani burudani. Angalia kwenye Dini iwe ukristo au uislamu nyimbo zinahusika pakubwa sana kwenye uislamu utakuna na kaswida...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  15. The Black Hermit

    JamiiForums Tanzania Nichukue pikipiki gani kati ya hizi tatu?

    Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni: 1. Uwezo wa kutumia mafuta kidogo kwa safari za km 50 kila siku. 2. Ubora wa injini (sitegemei kumwona...
  16. Revolution

    JamiiForums Tanzania Ukiacha omba omba waliozoeleka ni omba omba gani unaowajua na wanaoongezeka kwa kasi?

    Mwenyezumungu hawezi kumpa kila mja na pia kuna binaadamu wenye uhitaji maalum. Kutokana na hilo ndio maana kuna omba omba katika jamii zetu na kwingineko duniani. Ukiacha hawa omba omba niliowaongelea hapo juu, ni omba omba gani wengine ambao wanashamiri kwa kasi sana!? Ambao mkipeana namba ya...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kitu Gani ulihisi unakijua lakini badae ukagundua kumbe ulikuwa hujui chochote

    Ni hivii zamani nilikua najua jenereta /Generator ni kifaa kinachofua umeme au tuseme ni kifaa kinachobadili nishati ya mwendo kuwa nishati ya umeme. NIliamini hakuna jenereta inayoweza kufanya kazi ya kuzalisha umeme bila kupewa nishati ya mafuta ( petrol au diseli). Nilikuwa najua...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania “Usile nyama siku ya IJUMAA KUU”. Je, ni nyama aina gani ruksa kuila siku hii?

    Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile: Ng'ombe Kuku Mbuzi Kondoo Nguruwe Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa...
Back
Top Bottom