Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia,
Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
baada
gani
influence
kabla
karibu
kitu
kitu gani
kuondoka
lifestyle
maisha
majuto
mbaya
mbovu
mtindo
mtindo wa maisha
mwerevu
ndani
sauti
tabia
umri
watu wa karibu
wengi
wenye
wewe
Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali.
Mbali na maelezo ya Dkt. Nshala ambaye ni Chadema, ukisikiliza mawakili mbalimbali waliohojiwa...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Habari wadau, sina uhakika kama jukwaa hili linafaa kwa hoja yangu hivyo natanguliza samahani kwa atakayekwazika.
Nimefikiria na kuamua niishi mbali na kituo cha kazi na niwe nakuja na usafiri wangu binafsi kuliko kukaa karibu na kituo cha kazi. Baada ya kufikiri sana, nimekuja na wazo la...
Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo.
Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu.
Nilishawahi kumsikia binti mmoja akisema anamiliki saluni jijini Dubai. Simkumbuki jina, lakini anaishi Dar Es Salaam!
Ingelikuwa...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba
Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!!
Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
Ndugu katika mapambano.
Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa.
Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu.
Nyie mnanunua miamvuli gani...
Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa.
Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni”
Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. "
Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka lini Google Play ikalipiwa?
Nimepiga simu kuongea na huduma kwa wateja aliposikia tu shida yangu...
Naomba msaada wa swali la Afya hapa.
Ukifanya mazoezi ya kukimbia Asubuhi (Jogging) unatakiwa kuoga muda Gani mara baada ya kumaliza mazoezi??? Je unatakiwa kuoga mara tu unapomaliza kukimbia au unatakiwa kukaa muda fulani unapomaliza kukimbia?
Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe.
Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe.
Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi.
Naomba kufahamishwa...
Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa.
Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia.
Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.