gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Amkeni amkeni mnalala mna raha gani?

    mnalala kwa Raha zipi??
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

    Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao? Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Alaah Salah kiongozi wa Gen Z wa Sudan mwaka 2019, na je amefanikiwa kiasi gani kuijenga Sudan mpya

    Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa Omar Bashir yuko kifungoni akitumikia adhabu ya makosa ya jinai aliyotenda. Hapo awali Sudan...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dezo Dezo' ya Leo kwa Mkapa ndiyo mtaamini kuwa Wahuni na Vibaka wengi Tanzania wanashabikia Timu gani

    Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
  7. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya kitu/jambo gani kabla haujalala??

    Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala, Mdau,utaratibu wako ni upi before haujalala???
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
  9. Seran

    JamiiForums Tanzania Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

    Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  11. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

    Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  15. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kuanza?

    Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi. Nataka nianze kwa sasa, ila kuna mambo yananichanganya, mfano hio product kabla sijaanza kusambaza sehemu husika, si ni lazima nipate...
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

    Wakuu nataka kuongeza uzito kidogo ushauri wenu muhimu. Hivi nile vyakula vipi kwa wingi niongeze walau kilo 5 in 2 weeks
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Hivi ukifa sasa hivi kikao cha mirathi kujadili mali zako kitachukua muda gani?

    eti muda gani??
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Biashara gani uliambiwa inalipa afu ukala za uso

    Kuuza supu ya kongoro dadeki nilikunywa diaba zima mwenyewe wateja walinikimbia🤣🤣
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
Back
Top Bottom