GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Me nilikuwa nauupload TikTok nayo naona imesumbua mkuu

Halafu jana Instagram lite ilikuwa inanisumbua pia
Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
 

Attachments

  • 4e01be45597c479a980fd01c73229606.jpg
    4e01be45597c479a980fd01c73229606.jpg
    41.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom