Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!.
Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia.
Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi...
Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii
"Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa"
"Sita simama maovu ya kitawala......"
Ukizingatia kwa kile tunachokiona watu wakitekwa na kuuawa ufisadi na machukizo kama yote halafu bado mnaomba nyimbo zinazoamsha hisia...
Nianze mimi
Walioleta mafanikio
CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank
NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu
NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya.
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Hati ya TIN kutoka TRA
Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni)
Mkataba wa pango (kama umepanga)
Tax Clearance Certificate kutoka TRA
Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
Kwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku.
Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto.
Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?
Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua.
Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui...
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
Shikamooni wakuu!
Nilikua natafakari hapa,kwa nin mwanamke akinyonywa matiti na mwanaume au hata akiguswa tu lazima mwili wake usisimke.
Je kuna uhusiano gani kati ya hivyo vitu?
Mimi kuna bar hapo Tabata wamenipa jina la king mswati.Hilo jina walinipa kwa sababu ya kila bar maid anaekuja lazima nipite naye, Wadau wakaamua kuniita king mswati.
Wewe je mdau, maeneo yako ya kujidai wanakujua kwa a.k.a gani?
WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA
Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha.
Experience yangu hii hapa
Kwa muda...
Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii
2. Walawi 20:13
Mtu akilala na mwanamume kama vile alalavyo na mwanamke, wote wawili...
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
Siku ya pili niko hapa mpanda.
Huu mji umepoa kichizi sana,hakuna viwanja vya maana vya kujirusha.
Sehemu pekee ni Kingstone na B'eps,na penyewe hakuna jipya.
Kwa wenyeji wa hapa naomba mnipe machimbo nitakayoweza kupata pisi za kusuuza rungu langu.
Habari zenu watu wa mapenzi?
Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000?
Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye...
Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto.
Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea
Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.