gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako! Inaweza Nini? Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho: Unauza bidhaa Unaweka madeni na mikopo Unajua faida yako muda huo huo Unachapisha risiti...
  2. mshale21

    Hiki kidoti kwenye paji la uso kina maana gani?

    Wajuvi wa dini tujuzane
  3. DR. MWAKABANJE

    Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM. Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
  4. jamaikatz

    Upendo wa bunge umeyeyuka kwa sababu gani ?

    Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu utaratibu....", mara "Muongozo..." Halafu Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu anakataa muongozo wala...
  5. Kazanazo

    Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

    Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
  6. M

    Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

    Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana? Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo! Kitendo...
  7. Mwachiluwi

    Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
  8. McLaren

    Hivi Bodaboda wanashindwa kubeba kitu gani?

    Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
  9. Emilio Mzena

    Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  10. Lucas mwashamba

    Licha ya kumtishia uhai bado yupo na ujasiri na kujiamini na kuwatisha wanao mtisha Je wa mjua ni shujaa Gani anaeogopwa na wenye kumiliki silaha

    Ndugu zangu watanzania, Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
  11. 1Africa54

    Unapo taka kununua USAFIRI haswa GARI na PIKIPIKI hua unaepuka makosa gani?

    Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Vodacom na Shambulio tamanishi. Nichukue hatua gani?

    Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde. Je naweza kuwafunga? Uzi tayari.
  13. 1Africa54

    Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani?

    Miaka ya sasa ardhi imekua ni yenye kupanda thamani kutokana na miji kutanuka/kukua na kuongezeka shughuli za uzalishaji na makazi na kupelekea migogoro ya ardhi, utapeli na uharibifu wa mazingira JE Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani👇👇👇?
  14. R

    Tujuzane kwenye hii video ni Kiongozi gani anaombewa

    Tuko kwenye maombi ya siku 7 kuombea wanaume wa Tanzania kinyume na roho za mauti kama tulivyoagizwa na Mungu. Leo ikiwa ni siku ya 3, haya ni baadhi ya aliyoyafunua Roho Mtakatifu katikati ya maombi.
  15. Lexus SUV

    Ulijisikaje au ulikuwa na reaction gani pindi una angalia movie /series za kutisha sana , hasa nyakati za usiku

    Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili .... Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
  16. Marmeid

    hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
  17. mwaibile

    Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  18. THE FIRST BORN

    Hivi Antony Mavunde huwa ana nafasi gani pale Yanga?

    Habari mwana jukwaa la sport. Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde. Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona...
  19. Mwachiluwi

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  20. P h a r a o h

    Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
Back
Top Bottom