NUKUU ZA LEO
A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.
😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi.
C). "Uhaini si kuzuia...
Sisi kama Jerry Spare Parts and Services, tumekuwa tukihudumia madereva na wamiliki wa magari kwa miaka kadhaa sasa, hasa katika kuhakikisha wanapata spare parts original kwa ajili ya matengenezo na safari zao. Moja ya changamoto tunayokutana nayo mara nyingi ni wateja wanaorudi kutoka safari...
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work !
Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂
Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba
Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo..
Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri
1.tunda man
2.ney wa mitego
3.dogo janja
DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Wakuu,
Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe
Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo "kinamtema" ili wateja(wanafunzi) wabaki. Je kuna namna dispute ya mwalimu na chuo juu ya academics inaweza...
Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu.
Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.