Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi
Fekon
SanLG
King Lion
T better
Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake.
"Kumkoma nyani giladi"
Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura.
Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema:
Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli.
Kuelekea tukio...
Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza
"Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na wakiweza wanifanye lolote. GSM tumedhamiria na hatubahatishi na tumeisajilia Yanga SC Wachezaji wakubwa...
Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano.
Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa...
That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu.
Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho.
Mimi kwa mtu ninayemfahamu mara nyingi huwa
"HUYU mama siji kumsalimia tena huyu mpuuzi"
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa.
Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko?
Pia soma...
Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam.
Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)
Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono.
Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?