gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

    Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
  2. JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  3. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  4. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

    Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano. Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa. Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Hapo "Cutting Master Barbershop" kunyoa bei gani?

    Nauliza tu. Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu. Na.. Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au? Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea moja wapo hapo.
  6. JamiiForums Tanzania Kwani kudai Katiba mpya kuna dhambi gani?

    Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi kufikia kukamata viongozi wote wa chama kimoja kilichotajwa kufanya mjadala huo? Hivi ni kweli CCM...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hospital gani nzuri nitapata dermatologist hapa Dar

    Ndugu habarini? Naomba kuuliza kwa hapa Dar Hospital gani nzuri nitapata dermatologist.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mzimu gani CCM?

    Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo. Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake anaweza kuonekana kuwa mtu wa busara na hekima. Mtu kama kama huyu akiongea huwa anatema nondo tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana? Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha) Mnataka tuishije sasaa? Najiuliza inamaana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  12. JamiiForums Tanzania AUDIO: Hili ni tatizo gani kwenye engine?

    Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
  13. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Bunge la Tanzania linafanya kazi gani hasa?

    Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa mishahara. Mmekaa mnapitisha tozo ambazo ni maumivu kwa Watanzania tena kwa kishindo mnagonga meza...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii "code" ina maana gani?

    Gari yangu aina ya toyota liteace ya dieseli ina toa muungurumo mbaya na kutoa moshi. Pia taa ya check engine inawaka. Fundi wa kwanza akasema tumeweka mafuta machafu hivyo tusafishe tank. Fundi wa pili akasema tununue diesel treatment tuweke, na watatu akasema switch ya kwenye pampu ama pampu...
  17. JamiiForums Tanzania EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

    Unambariki? Kwanini? Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati nina uhitaji na kila mtu aliniacha (nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia naye anataka kutumia mabavu kutawala? Umuombee dua gani?

    Haiwezekani unazuia mikutano ya kisiasa wakati katiba inaruhusu, huwezi kuzuia watu kujadili katiba ya nchi wakati siyo uhaini wala hakuna katiba iliyovunjwa. Hivi kwani Uchamungu umekua ni msamiati mzito sana kwa watawala wetu? Unaweka makatazo batili maana yake nini? Yaani tusubiri ujenge...
  19. JamiiForums Tanzania Basi gani zuri Dar - Mtwara?

    Mada tajwa yahusika Karibu kwa mapendekezo pamoja na sifa za basi husika, kama una na contact itakua poa zaidi Nasikia hizi basi huwa hawaanzii stendi (ubungo kwa zamani) wanaanzia mbagala. Je, ni kweli? Kwa siku hizi sijajua kama wanaanzia mbezi au bado ni mbagala. Naomba kujuzwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kitu gani?

    Aandika Mohammed Ghassani Uzalendo gani!? Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa lakini kalewa pawa. Basi anatuhimiza: “uzalendo ndu’ zanguni!” “uzalendo!” “nchi yetu!”, hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…