Nani stars wa hizi movie?bruised
no time to die
daniel craig no time to dieNani stars wa hizi movie?
Asante mkuudaniel craig no time to die
halle berry bruised
kwangu mimi nobody hakuna kituAisee nimeshangaa kidogo kukuta hakuna ata mtu mmoja ameitaja Nobody kwenye list zenu, ila kwakuwa Kila mtu ana mtazamo wake hivo nitaheshimu mawazo ya wadau, anyway list yangu iko hivi
1.NOBODY
2.THE PROTEGE
3.KATE
Hii nobody nmeitafta sana bila mafanikio msaada jmnAisee nimeshangaa kidogo kukuta hakuna ata mtu mmoja ameitaja Nobody kwenye list zenu, ila kwakuwa Kila mtu ana mtazamo wake hivo nitaheshimu mawazo ya wadau, anyway list yangu iko hivi
1.NOBODY
2.THE PROTEGE
3.KATE
Sawa mkuu naheshimu mawazo yakokwangu mimi nobody hakuna kitu
Duhhh umeitafuta katika njia zipi hadi hujafanikiwa mkuu?Hii nobody nmeitafta sana bila mafanikio msaada jmn
Netnaija , fzmovies , mkvking kote sijaipataDuhhh umeitafuta katika njia zipi hadi hujafanikiwa mkuu?