gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Mimi ni mtu wa aina gani

    Habari wakuu sana. Mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu. Aisee moja kwa moja kwny hoja mi nna sifa zifuatazo. nikiona mtu ana shida naumia sn mpk machozi hunilenga, mfano mtoto anapigwa au mtu yeyote Yule au nikiona mtu analia kwa uchungu. napenda kukaa kimya nikiwa peke yangu kuliko nikiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  6. JamiiForums Tanzania Mkuyu ni Mti gani?

    Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU. Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  9. JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike. Dah sio poaa Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa. Asantee Mama J, leo ume Jua kunipa rahaa. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  10. JamiiForums Tanzania IGP gani ulimkubali kwenye kuchapa kazi?

    Kwangu mimi mpaka kesho namkubali sana Afande Said Mwema, pale tulipata IGP! Jamaa ni mchapa kazi mzuri ambaye aliamua kulirudisha jeshi kwa raia yaani ule ushirikiano wa Askari na Jamii. Mwana jf mwenzangu wewe ulimkubali IGP yupi? Na kipi kilikuvutia kwa IGP huyo?
  11. JamiiForums Tanzania Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali. Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
  12. JamiiForums Tanzania Usajili gani umekushtua msimu huu?

    Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea . Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha...
  13. JamiiForums Tanzania Incubator ni nini? Inatumikaje ? na ni kwa kiasi gani itaniongezea uzalishaji wa kuku wa mayai?

    Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator? Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai? Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator? Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara? Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe? Nitajuaje...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

    Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu. Mfano: Mtu wa Medicine anatakiwa awe na minimum point 6, lakini lazima awe na C kwenye chemistry. Programme gani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

    Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

    Habari za leo wakuu, Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo. 1. IFM - Bachelor of Accounting 2. TIA - Bachelor of Accountancy 3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
  18. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara toka wakati wa Sakata la kijana yule kutoka Kolomije...na kabla yake like suala la ushenga...na yale "maufundi"... Sasa katika Sakata lililochukua sura ya kifamilia na Kikolezo cha Imani vinaniacha na maswali. Hivi Askofu Gwajima anatekelezaje lile Agizo Kuu...
  19. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuwekeza kampuni ya ujenzi nje ya Tanzania ni nchi gani nzuri na taratibu zake zipoje kwa muwekezaji mgeni?

    Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…