gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Brand gani nzuri ya vyoo?

    Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza. Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada hili ni jeshi gani?

    Wakuu habarini!katika pita pita zangu huko Fb picha inayotrend kwa sasa ni huyu mjeshi Hapo hiyo chuma kampa dogo bila hiyana dogo nae kainua chuma. S Sasa swali langu hili ni jeshi gani hapa Bongo lala?je kama ingekuwa na lisasi na dogo akakumbuka Movie zetu za komando kipenzi si hatari hii?au...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi, Hii TV ni Aina Gani Wakuu...?

  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni tukio gani wakati wa kufanya sex ambalo ukilikumbuka huwa unacheka sana?

    Habari zenu? Miaka 11 iliyopita baada ya kuwa nimehitimu kidato cha sita, sikutaka kuendelea na chuo moja kwa moja,nikaona niingie machimboni huko katoro kutafuta maisha kwanza, nimechimba mawe sana huko, nilikaa takribani miezi 6 bila kuonja papuchi. Sasa bana siku flani nikasema ngoja...
  5. T

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
  7. JamiiForums Tanzania Itanigharimu kiasi gani kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti?

    ITANIGHARIMU KIASI GANI KUTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI? Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kwa wale wanaotamani kwenda kutalii lakini hawajui itawagharimu shilingi ngapi. Gharama ya kutalii mara nyingi inabadirika kutegemeana na sababu mbalimbali kama vile... Kampuni...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tumerogwa au ni kitu gani tulichokosea?

    Salaam nyingi sana waungwana! Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa kujitawala na kujifanyia maamuzi ya mambo yetu wenyewe. Miaka 60 sio mchezo na haina kisingizio cha kusema sisi tuko nyuma kimaendeleo kwasababu bado wachanga katika masuala ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiteknolojia (We don't...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni namba ya nchi gani?

    Eti waku hii namba ya nchi gani naogopa kuipokea
  10. JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

    Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
  12. JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
  13. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiwa unapenda kufanya utotoni lakini ulikosa uhuru kwa wazazi?

    Hello! Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia. wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi nukuu za Steve Jobs zimebeba ujumbe gani?

    Huyu jamaa alikuwa na maana gani kwenye nukui zake hizi? "Stay hungry, stay foolish" "If today were the last day of my life, would I want to do what I'm about to do today?
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    "Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali.
  16. JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba 2021

    Leo zimeachiwa episode 5 za mwisho za series ya Money Heist na kufikia mwisho wa series hiyo. Ikiwa pia tupo mwezi Disemba, mwezi wa mwisho kwa mwaka huu 2021, ni series na movie gani zilikuvutia sana mwaka huu? Karibuni kwa mjadala
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

    Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA...
  18. JamiiForums Tanzania Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani alifanya JK na kikabaki kuwa cha Watanzania?, Je ile Gesi ni yetu?

    Habari Wana JF, Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo. Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake. Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine. Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi...
  20. JamiiForums Tanzania UNA MPANGO GANI DECEMBER HII?

    Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…