Wanaohitimu PCM wanaweza kusoma kozi gani?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,317
8,228
Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa.

Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania.

Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida.

Mada ni hii hapa mezani.

Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
 
Pindi unaposoma PCM, kwanza jikubali kwamba wewe ni Engineer mtarajiwa. Nenda chuo kapige moja kati ya kozi hizi....Mechanical, Electrical, Civil au Compture Engineering. Hakikisha unapokua chuo unapiga misuli kweli kweli ili utoke upo nondo kwenye theory & practically as well as ukienda field chagua specific task ambayo utaspecialize, kwamfano unasoma Computer Engineering hakikisha unaijua network nje ndani kiasi cha kwamba kozi kama CCNA, CCNA Security, CCNP, CISA hakikisha unamalizana nazo hukohuko ukiwa chuoni ukirudi mtaani nikupiga ela tuu...UKIONA ENGINEER ANALIALIA KUHUSU AJIRA, UJUE HUYO HAJUI VITU
 
Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa.

Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania.

Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida.

Mada ni hii hapa mezani.

Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
Nimeona tcu guidebook mpya wanawachukua pia kusoma Unesi!..
 
Mmhh acha uwongoo bana,,unesi wa majengo nini
Umesoma tcu guidebook au ubishi jadi yako
Screenshot_20210713-063839.jpg
 
PCM unaweza soma course yeyote isipokua field za biology
Na maisha sio u Engineer tu!
Hizi GIS
Geomatics
Mining
Processing Chemical
Biomedical
Surveyors
Architects
Construction Economics
Economics zote
BAF & BCOM
Actuarial Sciencies
 
Kasome ukipendacho

Achana na maneno ya wahuni waliopo chuo..,

Kutana na mtu aliepo mtaani akushauri...,

In reality hakuna kozi yenye ajira.., hivyo jitahidi kusoma chuo ukipendacho..,hutojutia maishani
 
Back
Top Bottom