gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  2. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi?

    Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi? Najaribu kupiga mahesabu yangu ya uwiano hapa, naona yanagoma kubalansi...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

    Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika. Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kutenganisha mamlaka (mihimili) ie Separation of powers, je inafanya kazi kwa kiasi gani hapa kwetu?

    Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao kwa uendeshaji mzuri wa nchi. Ni kwa kiasi gani dhana hii inafanya kazi hapa kwetu? Je, kiuhalisia/in...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo! Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
  7. JamiiForums Tanzania Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  8. JamiiForums Tanzania Tuoneshe emoji gani unaitumia zaidi kwenye simu yako

  9. JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

    Siku hiyo kulikuwa na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliyekuwa akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kayiba Mpya ni mwarobaini wa mihimili kuheshimiana bila kijali vyama

    Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza, ipo faida gani wanapata wanasiasa, kuyageuza mema ya mtu kuwa ubaya kwa wananchi?

    Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu Kumebadirika nini leo...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Anyone yuko familiar with kuryans?
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
  17. JamiiForums Tanzania Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

  18. A

    JamiiForums Tanzania Mikopo isiyoenda katika shughuli za kiuchumi ina maana gani kwa taifa letu?

    Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe ameamua kuikana kauli yake baada ya mashinikizo kadhaa kutoka kwa watu na viongozi mbali mbali...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

    JF magari, habari? Heri ya mwaka mpya wakuu. Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia) Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner. Gari zote ni angalau kuanzia 2011. Naomba maoni yenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…