Kuna sababu gani nchi za watu weusi kuwa mwanachama wa Arab league?

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la Ethiopia AU itamuunga mkono nani?

Mgogoro wa zamani kati ya mwarabu wa Sudan na mtu mweusi wa Sudan ya kusini ulidumu miaka ishirini na moja na ulikuja tatuliwa na UNO badala ya AU kwa sababu kuna baadhi ya mataifa ya watu weusi wanajiona waarabu. Je kifanyike nini sasa?
 
Ni ujinga, kutojiamini na kuendekeza dhidi. Waarabu wanajua waswahili ni watumwa wao. Wanajikana na kujipeleka kubaguliwa. Angalia hata mabaki ya waarabu nchini wanavyooa mabinti zetu huku wakikimbiza wao Arabuni wakawe malaya wa kawaida tu.
 
Timu za soka za Israel zinacheza ligi ya mabingwa ya Ulaya, Uganda ni mwanachama wa umoja wa nchi za kiislam duniani, yaani kikubwa tumbo lijae..
 
Ukiangalia hizo nchi zilizojiunga na hao wavaa vipedo nchi zao ni mafukara wa kutupwa
Mwarabu mvivu, akili hana ukijiunga nao watakuletea ugaidi tu
 
Ni ujinga, kutojiamini na kuendekeza dhidi. Waarabu wanajua waswahili ni watumwa wao. Wanajikana na kujipeleka kubaguliwa. Angalia hata mabaki ya waarabu nchini wanavyooa mabinti zetu huku wakikimbiza wao Arabuni wakawe malaya wa kawaida tu.
Uarabu na Uswahili jinsi mnavyouandika inaonesha upeo wenu ni finyu kabisa.

Uarabu siyo rangi wala kabila. Uswahili siyo rangi wala kabila.
 
Pole sana mkuu kwa kupata maumivu, Jiandae na maumivu mengine mana miaka sio mingi na Zanzibar nayo itakua ni mwanachama wa hiyo Jumuiya.
 
Ni ujinga, kutojiamini na kuendekeza dhidi. Waarabu wanajua waswahili ni watumwa wao. Wanajikana na kujipeleka kubaguliwa. Angalia hata mabaki ya waarabu nchini wanavyooa mabinti zetu huku wakikimbiza wao Arabuni wakawe malaya wa kawaida tu.
Matusi hayo, nenda corner bar, nenda Ohio, nenda bar yoyote hapa Tanzania ukawaone dada zako wanayojiuza barabarani halafu nenda nchi yoyote ya Kiarabu ukaone kama kuna upuuzi huo.
 
Back
Top Bottom