gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  2. JamiiForums Tanzania Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
  3. JamiiForums Tanzania Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  4. JamiiForums Tanzania Kitabu gani bora cha kimataifa/kitaifa unachosoma kwa sasa au ulichowahi kusoma?

    - Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116] - Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

    Habari wakuu Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi . Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!! Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

    Naomba tujadili ndugu zangu. Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta. Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini. Huu mradi kwanini wanauzuia. Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili. Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  8. JamiiForums Tanzania Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  9. JamiiForums Tanzania Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Mtaa wenu una umaarufu gani?

    Huu mtaa wetu mi nadhani Malaika hapa wanatembelea masaa 24,Maana nyumba za Ibada km zote zimepangana zinashindana vipaza sauti tu ... Vp huko kitaani kwako?
  12. JamiiForums Tanzania Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua... Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mazao gani unayoweza kulima pamoja na mihogo na yakaongeza rotuba ya udongo?

    Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo. Msaada, ni mazao gani hayo?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

    Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai. Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
  15. JamiiForums Tanzania Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

    Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF. Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za...
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  18. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

    Karibuni
  19. L

    JamiiForums Tanzania App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

    Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
  20. JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

    Naanza na mbazi Arusha/dar. Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama. Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…