Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama.
Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!
Na maswali yenu ya kipuuzi...
Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote.
Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
Salaam Wakuu,
Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara.
Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii.
Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
Taarifa zaidi badae,
Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;
Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974.
Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
Habari, wanajukwaa!
Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
Ndugu sikuizi watu wengi wakiwa kwenye faragha wanapenda kujirecord na wanatoa ushirikiano mzuri tu, sasa sijajua sababu hasa ya kujirecord ni ipi?
Wengine mnasema et for feture use feture ipi inaweza kuja kutumia izo video zenu za faragha na zikivuja mnaaza kulia
Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana.
Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama.
Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi.
Najiuliza, hivi tatizo ni...
Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi.
Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi?
2...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo.
Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani?
NI DAMU IDONDOKAYO
Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani.
1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.