Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana.
Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post.
Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana.
Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF.
Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
Mko poa?
Salaam,
Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya.
Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
Wakuu habari.
Nimebahatika kununua kiwanja, viwanja vyetu vya skwata, Ila niliyepakana naye anaweka mashine ya kusaga. Je niendelee na ujenzi wa nyumba ya kuishi, au ni kero gani naweza kupata nikijenga
Naomba mawazo yenu
Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.
kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie...
Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho.
Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili.
Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata...
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu
Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo.
Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
Habarini wana jamvi,
Nmesukumwa kuleta hii mada sababu nimekumbuka kitu nikaishia kucheka tu. Mwaka jana mtoto wangu wa pili alipelekwa kuandikishwa shule na mzazi mwenzangu lakini jioni nikakuta timbwili sababu dogo alikua kapoteza begi lote la madaftari.
Mama ake alikua anakaribia kumuadhibu...
Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho.
"Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata...
Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za...
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.
Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.
Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.
Karibuni kwa ushauri.
Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi
Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi
majukumu yanazidi..nahisi kudata!
Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio.
Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti.
Kitendo cha kufungia...
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.
Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.