gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
  2. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana. Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
  3. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

    Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
  4. Saidama

    JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mwanafunzi Nusura; VC wa UDOM Kusiluka unadanganya kwa faida gani?

    UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya uongozi na huyu anayeitwa Kusiluka ndo VC wa chuo aliyeletwa ili chuo kibadilike. Ni wazi sasa VC mpya...
  6. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

    Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwenu huwa unatumia usafiri gani?

    Siku ukisema unasafiri kwenda mkoani kwenu ni usafiri gani huwa unatumia usafiri gani?
  8. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

    Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu? Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea. Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mashindikanaa ni watu wa namna gani haswa kwenye jamii?

    Nimesikia watu wakiita wengine hivi, maana yake nini? ili mtu aitwe mashindikanaa anatakiwa awe na sifa zipi?
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Starehe gani inayokupotezea Muda na Fedha lakini unashindwa kuiacha?

    Starehe ya kula gambe nimeshindwa kuiacha kabisaa japo inamaliza hela ila kuna muda najisemea natafuta hela kwa sababu gani?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

    Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

    Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
  16. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania Ninatarajia kuanza kujifunza 3D. Ni software gani inafaa na inatumika zaidi kwa matumizi ya kiofisi na kibiashara?

    Salaam brothers and sisters, Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?! Natanguliza shukrani.
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  18. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu. Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

    Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
  20. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...
Back
Top Bottom