Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,080
Mimi nawaza watakuwa wanajadili kuwa, ule umeme uliozingua jana angekuwepo jiwe kuna watu wangeliwa kichwa.

Karibu utiririke na wewe

6232877A-071D-4A09-87E4-B4FF8975BA3B.jpeg
 
Yanga anaweza beba ubingwa wa kombe la shirikisho barani africa.
 
Wateja hamna wakajichanganya kuskia ripoti ya C.A.G na mabilioni yanayovuja
 
Back
Top Bottom