Ngozi kuwasha baada ya kuoga ni shida Gani

traveller_me

New Member
Nov 14, 2013
4
1
Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
 
Landa maji jaribu kutumia ya bomba Kama umekua ukitumia ya kusoma.
 
Nimehangaika na huo ugonjwa na nimetumia kila dawa lkn bado ugonjwa uko palepale. Kujikuna mpaka kichefuchefu na kuwa na hasira
 
una blood infection au minyoo ya muda mrefu kapime uanze dozi upone, badilisha life style pendelea kula matunda, mbogamboga, samaki na nyama kwa mbali badala ya soda, juisi za viwandani na vyakula vya viwandani au pombe utanishukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom