gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani unayajutia yaliyokupotezea muda

    Nilipokuwa na miaka 21 Najutia kulazimisha penzi na mwanamke ambae hakunipenda, nilipoteza almost mwaka mzima kulazimisha kisichowezekana, nilijifunza kwa uchungu zaidi mapenzi hayalazimishwi nilipoona ana mimba na kaenda kutolewa posa. Nakumbuka niliwahi kupoteza mwaka mzima kujaribu...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  3. JamiiForums Tanzania Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

    Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani? Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
  4. JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka kwenye Nchi 7

    unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka katika Klabu 12 ndani ya Nchi 7 ikiwemo katika Bara la Ulaya na Asia?
  7. JamiiForums Tanzania Zilitoka mwaka gani

    MSAAD KIDOGO. HIZI NYIMBO ZIKITOKA MWAKA GANI. DIAMOND FT GEEZ MABOVU NGWAIR...JISACHI. GODZILLA FT DIAMOND...MTOTO WA KIUME. TOPBAND FT BLUE...NILIKATAA GODZILLA FT ALIKIBA..MILELE
  8. JamiiForums Tanzania Hizi alama/maandishi kwenye barabara huwakilisha kitu gani?

    Naona sana nikisafiri kwenda mikoa tofautitofauti hizi alama/mabango kwenye barabara, mfano; T6 Dar es Salaam au T4 Mtwara. Huwa zinamaanisha nini wazee wa RoadSite?
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  10. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

    Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo. Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi...
  15. JamiiForums Tanzania Majani kaachia album, wimbo gani mkali?

    Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
  16. JamiiForums Tanzania Tunatumia vigezo gani kuunda majimbo?

    Kwa takwimu nilizonazo ni kuwa Tanzania ina majimbo 264 ambapo ni Wabunge 264 bila kujumuisha Wabunge wa Viti Maalumu na Wabunge wa kuteuliwa na Rais. Katika majimbo hayo, jimbo lenye watu wengi ni Jimbo la Ukonga lililoko Dar, ambalo kwa mujibu wa Sensa ya 2022 lina watu 921,857 na jimbo lenye...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

    International Day Of Tolerance' Every 16th of November. Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
  18. JamiiForums Tanzania Nchi gani yenye uchawi mkali duniani?

    Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi. Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India...
  19. JamiiForums Tanzania Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

    Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
  20. JamiiForums Tanzania Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…