gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiwango gani cha umaskini umekishuhudia kikakushangaza na kukusikitisha?

    Aisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha. 1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 3 tangu kufariki kwa CPWAA, unamkumbuka kwa wimbo gani?

    Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021 Wakati wa uhai wake, CPWAA alifanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo 6 In The Morning, Problem, Pwaa na Action...
  3. JamiiForums Tanzania Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  4. JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

    Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Mlioangalia Movie ya "OPPENHEIMER" naombeni mniambie kuna jipya gani huko? Naona kwenye tuzo za kimataifa inajinyakulia mituzo yakutosha!

    Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega! Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
  8. M

    JamiiForums Tanzania NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela Endelea nawewe kutaja
  10. JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
  11. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
  14. JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

    Habari zenu, Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao. Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.
  18. JamiiForums Tanzania Ivory Coast vs Guinea Bissau wanaanza leo, Nchi gani itaibuka na Ubingwa wa AFCON mwaka huu?

    Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan. #Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…