The game is unfair, but you still have to play

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,356
Reaction score
83,329
The game is unfair, but you still have to play.

Mfumo wa Maisha hauwezi kuwa sawa kwa 100% - kuna watu wenye connection, pesa, na faida ya mapema. (FAIDA YA MAPEMA) au (head start)

ni pale umezaliwa katika Familia Bora yenye wazazi walio na akili timamu ambao tayari walishajenga msingi ambao wewe kazi Yako ni kuendeleza, au kuzaliwa ndani ya nchi iliyo na fursa nyingi ambazo zimeshatengenezwa.

Lakini kukaa pembeni hakubadili kitu , ni kuingia na uwanjani na kucheza.

Unabidi kucheza na kadi ulizonazo kwa wakati husika , kama nguvu , akili na maarifa au ujuzi huku ukitafuta njia ya kushinda ndani ya uhalisia huo ulionao kwa Sasa.

#Testaments
 
Inafikirisha , everything is blessing in this life.
Naam muhimu ni kuomba tu uzaliwe kwenye Nchi yenye amani na Jamii ya watu wenye kujitambua na mazingira yenye mfanano na hayo

Nature inaweza kupelekea ukazaliwa Muhadzabe Au wale wahindi wekundu wasio taka kabisa kujichanganya na Jamii za modern humans
 
True , kwakuwa Messi angezaliwa Tanzania asingeweza kuwa GOAT wa football.

Hiyo tunaita head start. Au faida za mapema Kwamba MTU unazaliwa ukiwa hatua Moja mbele ya wenzako .

Kwahiyo hamuwezi kuwa sawa.
 
Indeed 🎯💯
 
Safari ya mafanikio huanza pale unapoamua kuwajibika kwa asilimia mia moja na kuacha kulaumu mazingira au watu wengine,

Kila uamuzi unaouchukua leo ni msingi wa matokeo yako ya kesho,kubali changamoto zako,tambua vipaji vyako,weka malengo yanayo endana na uhalisia wako,hakuna kinacho badilika bila kuchukua hatua,kuwa na nidhamu pamoja na uaminifu ni moja ya vitu muhimu sana kwenye maisha yako,

Muombe Mungu akuongoze,usimdhulumu mtu,

Love the life you live
Live the life u love.
 
True , kwakuwa Messi angezaliwa Tanzania asingeweza kuwa GOAT wa football.
Messi alizaliwa Rosario Argentina,kwa kuangalia kipaji chake aliona itakua ni ngumu kutoboa nchini mwake,akaenda Spain kuangalia nafasi kwenye youth Academy ya Barcelona La Masia,kama Messi angeendelea kuishi Rosario na kulaumu wengine,basi asingekua GOAT,

So,if you are not succeeding or happy where you are,move you are not a Tree.
 
Kuna watu ukiangalia familia walizozaliwa na jinsi wenyewe walivyo inakuwa ngumu ukiniambia hakuna bahati.
Daahh nashindwa kujazia neno hapo lakini katika maisha binafsi naamini bahati huja kwako ukiwa umejindaa ndio bahati pia una kutana nayo

Hii ni Kwa wale waliozaliwa ktk mazingira duni ,
 
Kuzaliwq katika familia ya kitajiri sio bahati? Maandalizi gan yamehitajika pale? Na ile ni karanga tu
 
Kuna watu ukiangalia familia walizozaliwa na jinsi wenyewe walivyo inakuwa ngumu ukiniambia hakuna bahati.
Sehemu yoyote yenye urahisi ujue ugumu ulitangulia.

Kwahiyo watoto wa Diamond watasema wamezaliwa na bahati jibu ni hapana.

Kwakuwa diamond mpaka kafika kuwajengea watoto wake maisha mazuri kapitia changamoto kubwa sana .

Ndo maana tunasema bahati Huwa haipo ktk maisha
 
Daahh nashindwa kujazia neno hapo lakini katika maisha binafsi naamini bahati huja kwako ukiwa umejindaa ndio bahati pia una kutana nayo

Hii ni Kwa wale waliozaliwa ktk mazingira duni ,
Mkuu kuna haja ya kuutafakari vizuri huo mtazamo wako kuhusu bahati ili uone unaendana kweli na mifano halisi ya maisha.
 
Sehemu yoyote yenye urahisi ujue ugumu ulitangulia.

Kwahiyo watoto wa Diamond watasema wamezaliwa na bahati jibu ni hapana.

Kwakuwa diamond mpaka kafika kuwajengea watoto wake maisha mazuri kapitia changamoto kubwa sana .

Ndo maana tunasema bahati Huwa haipo ktk maisha
Hapo umemzungumzia Diamond ila watoto wake wao kama wao hawajakutana na huo ugumu.
 
Messi alizaliwa Rosario Argentina,kwa kuangalia kipaji chake aliona itakua ni ngumu kutoboa nchini mwake,akaenda Spain kuangalia nafasi kwenye youth Academy ya Barcelona La Masia,kama Messi angeendelea kuishi Rosario na kulaumu wengine,basi asingekua GOAT,

So,if you are not succeeding or happy where you are,move you are not a Tree.
Good point
 
The game is unfair, but you still have to play.

Mfumo wa Maisha hauwezi kuwa sawa kwa 100% - kuna watu wenye connection, pesa, na faida ya mapema. (FAIDA YA MAPEMA) au (head start)

ni pale umezaliwa katika Familia Bora yenye wazazi walio na akili timamu ambao tayari walishajenga msingi ambao wewe kazi Yako ni kuendeleza, au kuzaliwa ndani ya nchi iliyo na fursa nyingi ambazo zimeshatengenezwa.

Lakini kukaa pembeni hakubadili kitu , ni kuingia na uwanjani na kucheza.

Unabidi kucheza na kadi ulizonazo kwa wakati husika , kama nguvu , akili na maarifa au ujuzi huku ukitafuta njia ya kushinda ndani ya uhalisia huo ulionao kwa Sasa.

#Testaments
Apostle umesema ukweli tupu. Hii nchi omba uzaliwe kwenye familia ya akina MO na Bakhressa. Ukizaliwa kwenye familia mkia wa mbuzi, utapata taabu sana.
 
Wakati wewe unaomba uzaliwe kwenye familia ya akina Mo,

Mzazi wako pia anaomba ni bora angemzaa Samata au Diamond.
 
Back
Top Bottom