game

  1. Young silver

    JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  3. PLOII

    JamiiForums Tanzania Wadau mna lipi la kusema? Maana sielewi Simba as the

    Wadau mna lipi la kusema? Kesho nilale ndani au?
  4. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

    Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya Alisikika tu akisema: "Hello. How are u doing? You look good. I'm from Russia My English bad Come with me." Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa. Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape

    Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape, niko bored huku kijijini.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwijaku unataka kusema wewe unaifahamu game na majiji hapa Tz mpaka Dudu baya

    Mtu umetoka zako kijijini ukafika chuo juzi leo unataka kujiona kama umezaliwa DSM. wanaomsikiliza Mwijaku naona akili zenu zipo sawa naye.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sony wakati inaingia kwenye ushindani wa GAME, Playstation ilijiendesha kwa hasara mwanzoni ila sasa ndio yenye faida kubwa

    Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game. Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Simu yako isikose game au story za kusoma pindi mtandao unapo zimwa

    Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Uzinduzo wa Game la GTA-VI umesogezwa zaidi hadi November 2026!

    Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026. Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Foxy Brown yupo underrated kwenye game la HipHop hapewi heshima kubwa anayo stahili

    Kwa nini game ya HipHop upande wa kina dada haimpi heshima kubwa sana Foxy Brown ?
  14. X

    JamiiForums Tanzania Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

    Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa. Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba. Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi. Kuna...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  16. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ghost of Tsushima best game Asee

    Wakuu kwema poleni mihangaiko ya kutafuta ugali wetu wa Kila siku Basi Nimepata Kalikizo nkaona isiwe kesi Wacha nivute game nicheze kwenye laptop yangu (gaming PC GTX 1050) Nikaweka uncharted ,na game nyingine nyingi tu ikiwemo ghost of Tsushima ila Bado sijaona game Kali kuzidi hili ghost...
  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  18. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)?

    🎮 Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)? Kile kinachoonekana kama “burudani ya kawaida” kimekuwa fursa kubwa ya biashara inayoweza kukuletea faida kila siku. Siri kubwa ipo kwenye mbinu ambazo wamiliki wa biashara hizi hutumia kuhakikisha michezo inalipa gharama...
  19. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Game over

    ndiyo hivyo bhana tunazo hizo kete mbili nazo ni king,#5 imejaziliwa kuwa #6 mchezeshaji anazitwaa(kuzila) hizo chap, hesabu zimeshapigwa na mpaka kufikia hesabu ya namba za hizo kete mbili patakuwa patupu. MATAHA😀
Back
Top Bottom