Game Theory na Ufahamu(Bongo)

Game Theory na Ufahamu(Bongo)

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
968
Reaction score
1,660
Game theory;
Ni mkakati maalumu wa kupata matokeo uyatakayo kwa kutumia, kufanya au kushawishi maamuzi kabambe.
Mfano. mchakato wa kuwapata viongozi nani anapendekeza kuwa fulani akagombee na kwa nini?

Ufahamu/conciousness;
Kitu pekee cha muhimu kwa mwanadamu hapa duniani na ndio siri msingi ya Mambo yote(mafanikio) ulimwenguni. Mfano. ufahamu juu ya uwepo wa mungu.

Elites;
Hii michezo inachezwa na watu wenye upeofinyu wa ufahamu uliokolezwa na ulevi wa nguvu ya madaraka na mali.
Mfano. Matajiri wa dunia na viongozi walio nyuma ya mifumo ya dunia.

Elites na Ufahamu
Tunaishi katika projections za project zao(fake, ulimwengu usio halisi)

Tumeuziwa ufahamu mpya, kiasi kwamba hivyo ujionavyo wewe ni matokeo ya huo ufahamu... Chochote unachokiamua na kukifanya kimeathiriwa kwa asilimia zote na mradi/mpango au matakwa ya Elites. Hiyo ndio game theory.

Mfano; katika uchumi pesa ni nini na inathamani gani? Je pesa tunazaliwa nayo au nature wengine tunasema mungu kuna mahali hua anashusha mzigo wa pesa kila nchi inaenda kupokea fungu lake. Jibu ni hapana bali pesa inatengenezwa na watu tu na sio malaika. Sasa kwanini haitoshi? It's a game.

1)Katika anga za kimataifa, dunia imefanywa mradi.

2) Katika anga za kitaifa mataifa yamefanywa miradi.

Tuwepo around tutaendelea na kuchambua game ya nchi zetu huku Afrika inachezwaje?

Karibuni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom