fursa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Vodacom M-Pesa kwa kuleta Open API - Fintech developers tutumie fursa

    Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi. Sasa ni wakati wetu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Katika awamu hii chini ya Rais mpya Malawi, Magufuli atumie fursa hii kutatua mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania

    Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiitiwa fursa ujue wewe ni fursa

    Fursa ni nini? Katika kufanya kazi na wajasiriamali wengi nimegundua kwamba wengi huchanganya FURSA na kujikuta wanapoteza FURSA.Kama mjasiriamali na mtu mwenye kiu ya mafanikio lazima ujue kwamba KILI KITU na KILA MTU na FURSA kwa kutegemea jinsi unavyokitazama. Kwa mfano kama mtaa ni mchafu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Rwanda kwa sekta ya Kilimo inampa mtu matumaini sana kwa fursa hizi

    Fiscal incentives offered by Rwanda when you invest in Agriculture: Duty-free importation of all inputs Tax exemption for agriculture equipment 50% reduction in corporate income tax, if you are a registered investor exporting 50% of the turnover of products produced in Rwanda 7-year tax holiday...
  5. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu na kukua kwa teknolojia kunavyobeba fursa za uwekezaji nchini

    Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ugunduzi wa kupata mtandao wa intaneti ni moja ya mabadiliko makubwa zaidi katika teknolojia, kwamba leo hii ukiwa na simu janja yako na bando basi unapata intaneti. Programu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

    KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED Na Thadei Ole Mushi Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine. Ratiba yake kwa hizo siku...
  7. JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na chumvi. Ukishanunua wale dagaa unawakaanga pale unawaweka kwenye ndoo na kupanda nao mwendo kasi...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

    Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
  9. JamiiForums Tanzania Re: Fursa: Open Call | Art Exhibition

    WASEMAJE? What Do You Say? OPEN CALL | ART EXHIBITION ABOUT THE EXHIBITION Wasemaje Art Exhibition seeks to provide a platform for artists to freely express what is currently on their mind through art, and for the public to engage with artistic interpretations of the experiences of...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    Na Bwanku M Bwanku Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili kuchangia kukuza maendeleo ya Taifa. Serikali iliyoundwa na CCM katika miaka mitano iliyopita iliweka...
  11. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Kidijitali ilivyo fursa ya kukuza uchumi endelevu Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania Tuchangamkie Fursa za Total. Kujenga Vituo 100 vya Mafuta vya Total Vitakavyomilikiwa na Watanzania kwa Mfumo wa DODO

    Wanabodi, Baadhi ya Watanzania wenzetu ni masikini kwa kukosa tuu uthubutu wa kuchangamkia fursa za kibishara zinazojitokeza. Watanzania akiona mtu anafanya biashara fulani, na anapata, na yeye ndio anaiga. Hakuna biashara inayolipa vizuri kama biashara ya kununua hisa, stock markets, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Wanabodi, Japo hili ni Jukwaa la Siasa, na hii ni story ya fursa za Kiuchumi, issues zozote za utilities, umeme, maji na mafuta, ni siasa, hivyo ikitokea sintofahamu yoyote kwenye issues za mafuta ya fuel, nchi inatikisika!. Kumetokea Tangazo fulani la Total kwenye gazeti, kuna jamaa ka panic...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana: Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15

    Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15 Background The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kupika chips na nyama choma

    Habari, Natafuta kijana mchapakazi, muaminifu kwa ajili ya kufanya biashara ya nyama choma na chips. Namba yangu 0737955394 anitafute
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kukupa fursa za kimataifa

    Urafiki wowote lazima uwe na faida au tija, hakuna urafiki mzuri kama wa kupeana fursa, kusaidiana penye changamoto n.k marafiki wa stori stori au maneno maneno sio wa kuaminika, ndio waliowengi wana 'element' za kiunafiki. Leo wako na wewe, kesho wanageuka kuwa adui. Ni vizuri kujiwekea...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Unatarajia kufunga ndoa karibuni? (Honeymoon experience)

    Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
  18. JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona vijana na wazazi wengi hawajui kutambua fursa. Hali hii husababisha vijana wengi kuendelea kuwa tegemezi

    Habari wakuu! Tukubali tukatae lazima tujue kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma. Hivyo basi style za mapigano ya maisha lazima zibadilike. Wazee wengi bado hawajajua hili. Hivyo huendesha mambo yawahusuyo vijana wao kizamanizamani. Na vijana nao wanakuja kuamka huku wameshamaliza chuo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Sekta ya Elimu haijapata fursa ya kujadili changamoto zao au imetengwa?

    Wadau wa Sekta ya Elimu mnakwama wapi? Tokea Serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Novemba 15 , 2015 , kumekuwepo na mikutano mbalimbali juu ya kujadiliana changamoto mbalimbali katika sekta husika nakumbuka mapaema tu baada ya serikali iliyopo sasa kuanza kazi , kuliitishwa mkutano...
  20. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kidijitali ilivyo na fursa kwa Watanzania

    Ni wazi kuwa mapinduzi ya kidigitali yamekuwa na mabadiliko makubwa katika namna watu wanavyoishi kwenye miaka ya karibuni. Kwa bahati nzuri, mabadiliko haya yamekuja na fursa mbalimbali na pia yameipatia Tanzania nafasi ya kukuza uchumi wake Zaidi. Katika ripoti yake ya hivi karibuni Benki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…