fursa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kutoka Wizara ya Elimu MOE, full scholarships opportunities in ireland for Tanzanians 2022/23

    1.0 Call for Application The General public is hereby informed that the Ireland-Africa Fellows Scholarship programme for 2022/2023 academic year is now open for eligible Tanzanians to study a Master’s programme in Ireland’s world-renowned Higher Education Institutions in the fields of Gender...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

    Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri. Hii kutoka na miundo...
  3. JamiiForums Tanzania Ifahamu fursa hii ya miamvuli ya ufukweni (beach umbrellas)

    Nimeona watu kadhaa wakifanikiwa kwenye hili (nchi ya wengine) Sio kwasababu Mimi nimeshindwa kujaribu Basi nisitoe nafasi kwa wengine. Hasa Tanzania. Sijui sheria ikoje lakini hii inaweza mpa mtu mkate na kubadili maisha yake na wengine kuwapa ajira. Bongo jua Lipo (yearly round) Beach life...
  4. JamiiForums Tanzania Fursa kubwa inayopatikana kata ya Kiranjeranje Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi

    Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
  5. JamiiForums Tanzania CCM msiipoteze hii fursa tena

    Marehem Kolimba alisema CCM haina dira, na ghafla macho yote ya wana CCM yakaelekezwa kwake na, ninasikia, alikufa alipopewa kipaza sauti ajieleze ati kwanini alifikiri CCM haina dira! Pamoja na kazi za ujenzi wa miundombinu mingi zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano, bado kuna wana CCM...
  6. JamiiForums Tanzania (Mshikamano) Penye tatizo Kuna fursa Ipo.

    Habari watanzania pole na makodi tunayobebeshwa. Tunaweka mlio kwani tukiweka si za kwetu mbona nyie mnaenda kuvinjari na akina polish kwa Kodi zetu. Nisiwachoshe baada ya opener ya Uzi wetu direct kwa lengo. Hapa chini nimeweka gharama ya kutuma hela na kuitoa ikiwemo na mshikamano...
  7. JamiiForums Tanzania Benki tumieni fursa hii ya kupanda kwa gharama za kutoa fedha kwenye mitandao ya simu

    Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati...
  8. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

    Habari zenu wanajukwaa! Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo. Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Fursa kwa waliosomea ukatibu mahsusi (personal secretary)

    Maombi yatumwe kupitia: application@uti.ac.tz U
  10. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Tanzania ni fursa kibiashara

    Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili

    "Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
  12. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kutoa fursa kwa nchi za Afrika Mashariki kujitangaza kwenye soko lake

    Kenya, Tanzania na Rwanda zimeendelea na juhudi zao katika kutanganza vivutio vyake katika soko la China ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, sanaa za mikono, na hata bidhaa za kilimo kama kahawa. Kwenye hafla moja iliyofanyika mashariki mwa mji wa Beijing na kutangazwa moja kwa moja kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Fursa za frontend development

    Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa. Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale. Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuchangia fremu ya biashara

    Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke. Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Diaspora na fursa za kiuchumi

    Wakuu nawasalimu, Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya nchi kutufungua mawazo na kutupa uzoefu wa fursa mbalimbali zinazopatikana maeneo wanayoishi Fursa...
  17. JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati wa Maendeleo na Ubonereshaji Fursa za Ujasiriamali Zimekwama Wapi?

    Wana Jukwaa Bingwa, Miradi ifuatayo imetupwa kapuni au giza limetanda wananchi hawaoni? 1. Barabara ya mzunguko (Ring road) Km 100-Dodoma 2. Uwanja wa Michezo wa Kimataifa (Dodoma International Stadium)-Dodoma 3. Ujenzi Ikulu Chamwino (State House)-Dodoma 4. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye fursa Mwanza

    Nina mtaji WA laki 7. Nahitaji mtu mwema anaejua kwa mtaji huo naweza kufanya nn japo nipate elfu tano kwa siku au Kama kuna biashara anafanya tuunganishe nguvu pamoja Wale wa Mambo ya forever sjui smile we care mkae mbali kabisa NB: Matapeli pia msjidanganye tamtoa roho mtu wala sihitaji enda...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini kuna Vyuo vingi. Je, hivi Vyuo vinawezaje kuwa fursa ya kibiashara?

    Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara. Vyuo hivi hapa CHUO - SEHEMU MUST - Iyunga MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini TIA - Airport ya zamani MZUMBE - Foresti SAUT - Foresti UTUMISHI (tpsc) - soko matola ADEM - Foresti UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni CBE – Mjini TEKU -...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa wenye mitaji kuanzia 50,000

    Habari wakuu Tunakuagizia bidhaa kutoka China kwa bei nafuu sana ya kiwandani na wewe utatulipa commission kidogo pindi mzigo wako ukifika. Ofisi zetu zipo kigamboni big brother. Au unaweza kutupigia kwa namba +255656667359 au WhatsApp +255656667359 Wale wa mikoani fursa hiyo changamkeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…