(Mshikamano) Penye tatizo Kuna fursa Ipo.

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,392
14,133
Habari watanzania pole na makodi tunayobebeshwa.
Tunaweka mlio kwani tukiweka si za kwetu mbona nyie mnaenda kuvinjari na akina polish kwa Kodi zetu.


Nisiwachoshe baada ya opener ya Uzi wetu direct kwa lengo.
Hapa chini nimeweka gharama ya kutuma hela na kuitoa ikiwemo na mshikamano
Ukicheki hapo gharama ya mtu mpaka aipate alfu 10 jamani ni 2500 ivi.
So Kati ya chini ya alfu 10 unaifanya iwe 1500 , kuanzia 20 mpaka 30k unafanya ww 2000 flat rate. Tuma mtu aipokee huko alipo Kama kijijini kwenu weka hata mama yako wanachukulia kwake wewe hapa mjini wanakupa iyo hela. Kama una duka huko kijijini fanya hiyo biashara na mtu wa mjini. 40k mpaka laki wewe fanya flat rate ya 3000 basi urahishe maisha.kama ukipata ubia na watu wa ofisi za magari poa kazi kwako.
Ivi mfano ukipata miamala 50 kwa siku uko wapi kwa siku wajameni.
Ni fursa kwa graduates.
Kama mhitimu mnafahamiana anakaa Arusha Moshi mwanza dar mbeya ni mwendo wa kupiga hela.

Screenshot_20210715-174728_1.jpg
Screenshot_20210715-174656_2.jpg
 
Imenibidi mpaka nimewasha PC ili tufanye mahesabu haya.
Yaani nikipata miamala 50 ya 3k jamani Nina Bei per day ni around 150k ama nakosea maths.
Kazi iyo hapo nimerahisha.
Yaani mtu kutumiwa 50 inabidi uwe na 7520 pembeni ili uitume na aipate kesho jamani.
Ama ingiza kwa bank akaunti mawakala wapo kila Kona afu akachukue kwa atm.
Omba hata mtu upitishie kwa akaunti yake.ukishaweka kwa akaunti ya mtu akiiona tu na 2000 juu ya faida anachukua 50k anampatia.
Yaani inabidi watu wawe karibu na wenye akaunti pia na wananchi wafungue akaunti kwa Sana.
Eti Kuna muda hata kusafirisha kifurushi kwa dereva ilitaka kukataliwa.
Yaani muda so mrefu tutawekewa Kodi ya kulaana kimasihara.
Yaani ukiingia gesti Kama hamna Cheri Cha ndoa unalipia 10k Kama Kodi ya Mshikamano.
Mcc front kwa front ndindiii ndiii tumeitaka wenyewe ,acha wajinga na masikini wakamuliwe waisome namba wewee!!!! Mccc mbele kwa mbele kwenda kusomesha wanetu nje huku wa kwenu wakiwa hawana madarasa walimu wa kutosha,enhee enhee.
Kumbuka posho haitutoshi Mana Kuna za kuhonga watt wakali wanaanzia Kama laki tano ivi
 
Back
Top Bottom