Fursa ya biashara kwa wenye mitaji kuanzia 50,000

lostid

Member
Dec 6, 2020
32
27
Habari wakuu

Tunakuagizia bidhaa kutoka China kwa bei nafuu sana ya kiwandani na wewe utatulipa commission kidogo pindi mzigo wako ukifika. Ofisi zetu zipo kigamboni big brother. Au unaweza kutupigia kwa namba +255656667359 au
WhatsApp +255656667359

Wale wa mikoani fursa hiyo changamkeni kuwapelekea watu wa mikoani vitu adimu kwa bei poa.

Baadhi ya bidhaa tunazofunga oda kwa sasa ni hizo chini hivyo wahi kabla hatujafunga mzigo. Mzigo unafika baada ya siku 30-40 kuanzia siku unapoanza safari ya majini (meli)

Jag la umeme 8500 bila usafiri

Pochi 11000 bila usafiri

Jeans classic za wanaume 7500 (hapa oda ianzie pis 10)

Hereni kila kipackti 2000 zinakuwa pea 30 (haya ushindwe wewe tu hapa oda kuanzia pact 5)

Mikoba hiyo classic 13,000 bila usafiri (oda ianzie pis 5)

Viatu vya kike 9500 bila usafiri

Vitenge pic tatu 8900 (kuanzia pic 5)

Baadhi ya bidhaa zipo hapo zikiwa zimefika kwa
wateja.

Kuhusu gharama za usafiri ni ngumu kujua kabla hatujafunga mzigo wote ila huwa tunakadiria maana huwa wanapima kwa kilo kujua unatakiwa kulipa sh ngapi. So kwako wewe utakar agiza chochote labda tusema jeans za kiume au viatu vya kike unaweza kuweka makadirio ya sh 2000 ya ziada kwa kila piece moja.

Kiufupi kila bidhaa ongezea kuanzia 1000-5000 ya usafiri kulingana na uzito wa bidhaa yako

Karibuni sana
Screenshot_20210615-222821_1623786306031.jpg
Screenshot_20210615-223225_1623786098531.jpg
Screenshot_20210615-223308_1623786056358.jpg
Screenshot_20210615-223209_1623786132332.jpg
Screenshot_20210615-223202_1623786167112.jpg
Screenshot_20210615-223157_1623786193785.jpg
Screenshot_20210615-223356_1623785949749.jpg
IMG-20210615-WA0108.jpg
Screenshot_20210615-223327_1623786013688.jpg
Screenshot_20210615-222926_1623786266510.jpg
Screenshot_20210615-223346_1623785979968.jpg
IMG-20210615-WA0114.jpg
Screenshot_20210615-222946.jpg

UPDATE:
TUMEANZA KUPOKEA ODA ZA SIMU IPHONE DIRISHA LIMEFUNGULIWA LEO MPAKA TAREHE 22/6 ZINATAKIWA ZIFUNGWE ZIANZE SAFARI.

Hizo bei hazijumuishi bei ya usafiri so makadirio hapa ya usafiri ni kama 5000 kwa kila simu. Haya ni makadirio tu jamani inaweza kupungua au kuongezeka kidogo.

iPhone6 16gb 195000
iPhone6 32gb 200,000
iPhone6 64gb 230,000
iPhone6+ 16gb 240,000
iPhone6+ 64gb 255,000
iPhone 6s 16gb 260,000
iPhone 6s 64gb 265,000
iPhone 6sp 16gb 280’000
iPhone 6sp 64gb 320,000
iPhone7 32gb 315000
iPhone7 128gb 350,000
iPhone7 plus 32gb 430,000
iPhone 7 Plus 128gb 475000
iPhone 8 64gb 390000
iPhone 8 256gb 500000
iPhone 8 Plus 64gb 560,000
iPhone 8 Plus 256gb 710000
iPhone x 64gb 670000
iPhone x 256gb 730000
iPhone xr 64gb 755000
iPhone xr 128gb 900000
iPhone xs Max 64gb 980000
iPhone xs Max 256gb 2850 1090000
iPhone 11 64gb 1.3milion
iPhone 11 128gb 1.300000 milion

iPhone 11 pro 256gb 1.4milion
iPhone 11 pro max 64gb 1.345000
iPhone 11 pro max 256gb1.6milion
iPhone 12 64gb 1.7milion
iPhone 12 pro max 128gb 2.6milion
iPhone 12 pro max 256gb 2.935000
iPhone 12 pro max 512gb 3milion
 
Hizo heleni ni zipi? Ni zile zinazouzwa Mia tano Mia tano au 5000 ? Nataka niwe na goli la hereni , cheni, bracelets zile classic maisha yashabana kiaina.
Na bei ya usafiri ni sh ngapi?
 
Habari wakuu

Tunakuagizia bidhaa kutoka China kwa bei nafuu sana ya kiwandani na wewe utatulipa commission kidogo pindi mzigo wako ukifika. Ofisi zetu zipo kigamboni big brother. Au unaweza kutupigia kwa namba +255656667359 au
WhatsApp +255656667359

Wale wa mikoani fursa hiyo changamkeni kuwapelekea watu wa mikoani vitu adimu kwa bei poa.

Baadhi ya bidhaa tunazofunga oda kwa sasa ni hizo chini hivyo wahi kabla hatujafunga mzigo. Mzigo unafika baada ya siku 30-40 kuanzia siku unapoanza safari ya majini (meli)

Jag la umeme 8500 bila usafiri

Pochi 11000 bila usafiri

Jeans classic za wanaume 7500 (hapa oda ianzie pis 10)

Hereni kila kipackti 2000 zinakuwa pea 30 (haya ushindwe wewe tu hapa oda kuanzia pact 5)

Mikoba hiyo classic 13,000 bila usafiri (oda ianzie pis 5)

Viatu vya kike 9500 bila usafiri

Vitenge pic tatu 8900 (kuanzia pic 5)

Baadhi ya bidhaa zipo hapo zikiwa zimefika kwa
wateja.

Kuhusu gharama za usafiri ni ngumu kujua kabla hatujafunga mzigo wote ila huwa tunakadiria maana huwa wanapima kwa kilo kujua unatakiwa kulipa sh ngapi. So kwako wewe utakar agiza chochote labda tusema jeans za kiume au viatu vya kike unaweza kuweka makadirio ya sh 2000 ya ziada kwa kila piece moja.

Kiufupi kila bidhaa ongezea kuanzia 1000-5000 ya usafiri kulingana na uzito wa bidhaa yako

Karibuni sana View attachment 1819807View attachment 1819808View attachment 1819809View attachment 1819816View attachment 1819815View attachment 1819814View attachment 1819819View attachment 1819821View attachment 1819822View attachment 1819823View attachment 1819824View attachment 1819825View attachment 1819826
Mkuu! Ukumbuke kuwa wote ambao wako interested na business hyo hawako karibu na ofis zenu, Sasa inshu kubwa ni uhakika wa usalama wa fedha, matapeli n wengi mno na hela ni ngum kupatikana, Sasa taratibu zenu za kimiamala za kiofisi zikoje hapo??

Funguka vzr tuchangamkie fursa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ungechukua bidhaa mmoja au mbili uweke details kamili,mfano (1) bei ya manunuzi(2) gharama za usafiri(3) kodi za serikali.Hiyo itawapatia wateja picha kamili ya unafuu uliopo.
Mara nyingi Bei ya usafiri inakua included na Kodi ya serikali
 
Back
Top Bottom