furaha

  1. N

    Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  2. Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

    Habari ya leo wakuu. Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe. Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL. Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home. Lakini huwa naona ni tofauti na...
  3. Shangwe na furaha yatanda Gaza baada ya pande mbili kukubaliana kutuliza mapigano

    Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive" Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
  4. M

    Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

    Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
  5. Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  6. Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  7. B

    Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  8. N

    Leo ni Mei Mosi ya Kwanza Awamu ya Sita - Tutajawa na furaha au itakuwa kushika vichwa?

    Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara...
  9. Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

    Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za...
  10. Abarikiwe mpishi ajawe na afya njema na furaha moyoni

  11. Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

    Asikwambie mtu kitu. Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA. Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na mishe nyingi kujijenga kimaisha. Unapofikia kuoa ujue maisha yako sasa kwa kiasi kikubwa yatahitaji...
  12. Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

    Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Azam TV. Aidha amesema baada ya masikitiko ya muda mfupi kufuatia kifo cha Magufuli nchi imerudi...
  13. Unajua kwanini nchi zinazoongoza kwa watu wake kuwa na furaha pia huongoza kwa watu wake kujiua?

    Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea...
  14. T

    Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  15. Ile taasisi ya kimataifa inayofanya utafiti kuhusu furaha za wananchi wa mataifa mbalimbali ije baada ya miezi sita

    Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka. Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu, Wanawake hongereni kwa kutuongoza, napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo. Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
  16. Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  17. C

    Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

    Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa. FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
  18. Chozi la furaha

    SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
  19. Dah! Uganda waipita Kenya kwenye mataifa yenye furaha, huku Tanzania ikiendelea kushikilia nafasi ya wanunaji na wenye dhiki

    Uganda has overtaken Kenya to become the happiest country in East Africa in the 2020 World Happiness Report released in March 2021. The survey conducted in 2020 placed Uganda at position 83, followed by Kenya at 86 which is a drop from the previous year, and Tanzania ranking at position 94...
  20. "Nimeongea nae leo"Furaha anafurahia njaa kupata raha

    Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee, Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe.. Nikaona nipitie kwa babu Nikapate kikombe, Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe.. Kinachofata dua niombe, Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe Achana na hayoo comrade!! MIMI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…