Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Agresive

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
889
1,226
Habari ya leo wakuu.

Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.

Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.

Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.

Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.

Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.

Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
 
Furaha unajipa mwenyewe mkuu na sio lazima unywe pombe

Pombe Ina ishawishi mwingi na utumiaji wa pesa nyingi za bila mpangilio

Unalewa kila mtu Bar ni rafiki yako utafikiri mnajuana miaka kibao na unaweza hata kumlipia pombe kiasi chake

Zipo sehemu nyingi unaweza ukaenda na kufurahi bila kulewa

Kama unaona pombe ni nzuri labda ungetengeneza aina yako ya Bia na kuwauzia hao

Ni wazo tu
 
Ha ha ha

Hata wewe umesema wazi kuwa wanachangamkiana kanakwamba wanajuwana cku nyingi, hivyo watu hawa ni kundi lenye upendo.

Naungana na wewe kuwa furaha unaitengeneza mwenyewe, lakini nimefanya ulinganifu kati ya makundi haya 2 mkuu.
Furaha unajipa mwenyewe mkuu na sio lazima unywe pombe

Pombe Ina ishawishi mwingi na utumiaji wa pesa nyingi za bila mpangilio

Unalewa kila mtu Bar ni rafiki yako utafikiri mnajuana miaka kibao na unaweza hata kumlipia pombe kiasi chake

Zipo sehemu nyingi unaweza ukaenda na kufurahi bila kulewa

Kama unaona pombe ni nzuri labda ungetengeneza aina yako ya Bia na kuwauzia hao

Ni wazo tu
 
Furaha unajipa mwenyewe mkuu na sio lazima unywe pombe

Pombe Ina ishawishi mwingi na utumiaji wa pesa nyingi za bila mpangilio

Unalewa kila mtu Bar ni rafiki yako utafikiri mnajuana miaka kibao na unaweza hata kumlipia pombe kiasi chake

Zipo sehemu nyingi unaweza ukaenda na kufurahi bila kulewa

Kama unaona pombe ni nzuri labda ungetengeneza aina yako ya Bia na kuwauzia hao

Ni wazo tu
Yaani kama umetembea na card ndo kabisa. Siku hizi Bar wana machine unajikuta asubuhi umechoma mpaka 300,000 huku unatumia simu kama spider web. Madeni kibao, friji lipo empty,viatu vimeanza uchanika n.k
 
Back
Top Bottom