Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo.

Mambo matatu yenyewe:

( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi"
ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa sababu wapo tu kwenye furaha.

(2) Unapo kuwa na hasira usitoe "jibu"
hasira ni kitu cha ajabu sana na kumfanya mwanadamu yoyote kutoa majibu ya haraka kama vitendo au maneno.
Kama utaona umeweza kulizuia basi epuka.

(3) Unapokuwa na uhuzuni usitoe " mmaamuzi

Huzuni ni mshauri kumbwa wa maamuzi kwa asilimia kubwa kuangukia kwenye maamuzi mabaya. Watu wengi waliokuwa na huzuni ujikuta kwenye maamuzi mabaya sana.

Mambo matatu haya ndiyo yatatufungia mwaka 2021
 
4. Usipokee ahadi ukiwa na matumaini makubwa.
Kuna msichana nilimuahidi kumpa dunia, nikaishia kumpachika mimba.

Dunia yenyewe hii hapa.

download.jpeg
 
4) ukipokea namba ngeni au message ya mtu usiemjua kakutumia link yeyote usiifungue.. usije ukajilaumu baada ya kuifungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom